Mzee, unazidi kujivua nguo.Wewe kama hujui Kiingereza na hujafikia viwango vya kujibu kwa lugha yoyote pita kimya kimya tu.
Tutasumbuana bure hapa tu utanijazia ad hominem na non sequitur logical fallacies kama hii.
Hujui kitu.
Wewe tatizo lako hujui kusoma kwa ufahamu.Mzee, unazidi kujivua nguo.
Pamoja na kuishi nje hivyo bado unaona kujua Kiingereza ni big deal? Binafsi nimekushusha sana.
I'd rather be sijui kitu, kuliko kujivua nguo cheaply kiasi hiki. Aibu sana
Kusoma kwa ufahamu haina maana kuwa unachokisoma kina haja ya kukifahamu endapo kikiwa hakina maana kwa watu wenye uelewa mpana wa mambo.Wewe tatizo lakp hujui kusoma kwa ufahamu.
Nadhani wewe ndio hujui kusoma kwa ufahamu, katika maelezo yangu wapi kuna andiko linaloonyesha kulia? Siku hizi tunalia kwa maandishi? Cheap argument.Katika Kiingereza na Kiswahili.
Ndiyo maana nineandika Kiingerwza umelialia hujaelewa, nikaandika Kiswahiki napo hujaelewa nilichoandika.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kushindwa kuelewa na kupuuzia vitu visivyo na maana.Nimeandika zaidi ya Kiingereza, nimeandika habari ya kuchambua hoja, kwa Kiswahiki, kwa kilatini.
Lakini uneshindwa kuelewa.
Tulia andika taratibu, unapagawa mkuu.Kwa sababu huna uwezo wa kusoma kwa ifahamu.
Kwa Kiingerwza.
Kwa Kiswahili.
Kwa Kikatini.
Tatizo si kugha.
Tatizo wewe hujui kusoma kwa ufahamu.
Na huku ni kutafuta sifa tu. Kwa nini uongezee na Kilatini, unaongeza vitu unnecessary. Tangu lini Watanzania wanaongea Kilatini? Umeongezea na Kilatini ili upate tu hoja ya kumkandia. Bure kabisaWewe tatizo lako hujui kusoma kwa ufahamu.
Hujui maana ya neno "na".
Hujui kusoma kwa ufahamu.
Katika Kiingereza, Kilatini na Kiswahili.
Ndiyo maana nimeandika Kiingereza umelialia hujaelewa, nikaandika Kiswahili na Kilatini napo hujaelewa nilichoandika.
Nimeandika zaidi ya Kiingereza, nimeandika habari ya kuchambua hoja, na juachana na ad hom8nem attacks na non sequitur logical fallacies, kwa Kiswahili, kwa kilatini.
Lakini uneshindwa kuelewa. Hatuwezi kuelewana. Hatupo katika level moja.
Kwa sababu huna uwezo wa kusoma kwa ufahamu.
Kwa Kiingereza.
Kwa Kiswahili.
Kwa Kilatini.
Tatizo si lugha.
Tatizo wewe hujui kusoma kwa ufahamu.
Straight to ignore list.Kusoma kwa ufahamu haina maana kuwa unachokisoma kina haja ya kukifahamu endapo kikiwa hakina maana kwa watu wenye uelewa mpana wa mambo.
Nadhani wewe ndio hujui kusoma kwa ufahamu, katika maelezo yangu wapi kuna andiko linaloonyesha kulia? Siku hizi tunalia kwa maandishi? Cheap argument.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kushindwa kuelewa na kupuuzia vitu visivyo na maana.
Tulia andika taratibu, unapagawa mkuu.
Kwa hiyo unashauri Watanzania wafanye nini kwa situation ya sasa, ili uone sio ujinga, by your standards?Hakuna yanayoniumiza, nasema tu huu ujinga.
Kwani mtu kusema huu ujinga mpaka uumizwe?
Si mtu anaweza tu kusema huu ujinga kwa kukataa ujinga tu?
Kwani umelazimishwa kusoma?Na huku ni kutafuta sifa tu. Kwa nini uongezee na Kilatini, unaongeza vitu unnecessary. Tangu lini Watanzania wanaongea Kilatini? Umeongezea na Kilatini ili upate tu hoja ya kumkandia. Bure kabisa
Kwanza mkuu ignore yako unahisi nitapungukiwa kitu gani cha ziada au cha muhimu?Straight to ignore list.
Ukitulia ukasoma kwa uelewa, naamini utaona hakuna mahali nimekuchafua.From here I am not going tobsee anything you post, unanichafua tu sioni tunachoweza kujadiliana.
Mkuu ukitaka tuwasiliane hata kwa maongezi kwa lugha yoyote utakayochagua mimi nipo tayari.Hujui kusoma kwa ufahamu katika media ambayo tunawasiliana kwa kusoma na kuandika.
Chagua lugha utakayotaka, muda, eneo n.k tujibizane mkuu wadau wataamua.Hujafikia kiwango cha kujibizana nami moja kwa moja.
Wewe ni mkimbizi tu na huna moral authority ya kuwapangia watanzania namna ya kuipigania haki wakiwa ndani ya nchi yao, na wapo Tyr kwa lolote.Ww unapiga kelele ukiwa kwenye nchi za watu tu kama mkimbizi, kama unaipigania haki ya nchi hii Tanzania, Njoo Tanzania tuone ujasiri wako, otherwise utabakia kuwa mkimbizi na muoga mpaka kufa, na hata ukifa utazikwa huko ugenini kama mkimbizi. Mkimbizi hana moral authority ya kuwapangia watanzania namna ya kuipigania nchi yao.Umejaa false dichotomies na contradiction.
False dichotomy ya kwanza ni kufikiri mtu aliye nje hatakiwi kuwa na mchango Tan,ania. Huu ni ujinga tu.
False dichotomy ya piki ni kuona mtu anayekupinga amejaa hofu. Wewe kama unafanya mambo ya kijinga utapingwa tu, jadiki hoja, usichomeke habari ya hofu. Mimi nakupinga kwa sababu unaleta habari za kijinga, si kwa sababu nina hofu.
Hiyo Kapteni Tesha mnayemshangilia ni mtu anayemfagilia Magufuli. Magufuli alikuwa dikteta aliyepiga marufuku mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa kikatiba. Alinunua wanasiasa na kuruhusu wananchi kutekwa.
Sasa ndiyo mnataka kurudi kwenye hawa watu wanaomsifia Magufuli?
Nikikwambia kushangilia hawa watu ni ujinga utasemaje nina hofu wakati kama huo ni ujinga ni ujinga tu?
Mnatapatapa. Na lazima muambiwe kwamba mnatapatapa.
Wewe ni nani mpaka uwasemee Watanzania kuwa hawanihitaji? Huu ndio udikteta wenyewe, unataka wewe ujichague kuwa ni msemaji wa Watanzania. Huu ni ujinga tu.
Ooh please don't ignore me, if you ignore me my life will be messed up, I'm begging you. Ukini-ignore nitaumwa na kufukuzwa kazi, nyumbani familia itanitenga na jamii itanidharau. Please, don't ignore me 🥹Kwani umelazimishwa kusoma?
Haya nakuoeleka ignore list na wewe ni ignore usione post zangu za kilatini za kutafuta sifa.
Maana mimi natumia kilatini sana na siwezi kuacha kwa sababu yako.
Hakuna popote nilipowapangia. Kumpangia mtu ni kama wale wanaotaka kuandamana kuzuia wengine wasifanye uchaguzi.Wewe ni mkimbizi tu na huna moral authority ya kuwapangia watanzania namna ya kuipigania haki wakiwa ndani ya nchi yao, na wapo Tyr kwa lolote.Ww unapiga kelele ukiwa kwenye nchi za watu tu kama mkimbizi, kama unaipigania haki ya nchi hii Tanzania, Njoo Tanzania tuone ujasiri wako, otherwise utabakia kuwa mkimbizi na muoga mpaka kufa, na hata ukifa utazikwa huko ugenini kama mkimbizi. Mkimbizi hana moral authority ya kuwapangia watanzania namna ya kuipigania nchi yao.
Umeongea upumbavu 🚮Nyie ndio maana mmefirwa huko Ulaya huwa mpaka akili zenu hazifanyi kazi.
Huna unachosaidia, sioni kama maoni yako yana umuhimu
Basi hapo kaingiza siasa na Tanzania mnafeli kwenye maandamano mengi ni kwasababu Kama hizi mnapenda kutanguliza uchama badala ya utaifa nchi nyingi zilizofanikiwa kwenye maandamano huwa makundi yote uungana bila kujali itikadi zao za kisiasa au dini. Maandamano yanatakiwa yawe na sura ya kitaifa badala ya kuonekana ni ya upinzani.Wewe umemsikiliza captain Tesha kweli? Mbona alisema hilo si chini ya mara2?
Penye vita ama common interest, nchi mahasimu huungana kupambana na common enemy.Kapteni Twsha anataka kuwarudisha kwenye u Magufuli. Kamlilia sana Magufuli. Kasema anampenda sana Magufuli.
Maana yake hakuona baya kwenye utawala wa Magufuli.
Nawashangaa sana.
Hawa Watanzania wanaopinga serikali ya Samia inayovunja demokrasia, inayobariki utekaji, ndio hao hao wanashangilia mapinduzi ya kijeshi yanayochagizwa na Kapteni Tesha anayemsifia sana na kumlilia Magufuli, aliyeasisi mfumo wa kununua wanasiasa wapinzani, aliyebariki utekaji wa watu?
Kapteni Tesha kamsifia na kumlilia sana Magufuli.
Hawa Watanzania wanaomsifia Kapteni Tesha hawapendi serikali kandamizi au hawampendi Samia tu?
Wanataka Tanzania mpya ya kuturudisha kwenye u Magufuli?
Hawaoni contradiction hapo?
Hivi kuwa jamaa yake na Lissu ni uchadema? unadhani Lissu hana ndg walioko ccm na wanampenda na hawapndi anachofanyiwa na serkali yao ya ccm?Basi hapo kaingiza siasa na Tanzania mnafeli kwenye maandamano mengi ni kwasababu Kama hizi mnapenda kutanguliza uchama badala ya utaifa nchi nyingi zilizofanikiwa kwenye maandamano huwa makundi yote uungana bila kujali itikadi zao za kisiasa au dini. Maandamano yanatakiwa yawe na sura ya kitaifa badala ya kuonekana ni ya upinzani.
Sijakubagua kwa namna yoyote, lakini jambo hilo haliondoi ukweli kwamba wewe ni mkimbizi( sababu za kuwa mkimbizi unazifaham mwenyewe). Hata hivyo, inapokuwa wewe unatoa matamshi ya kuwaita Watanzania desperate, huku ukiwa mbali na uhalisia wa maisha yao, unajinyima moral authority ya kuzungumzia hali ya wananchi. Unasikia na kuona kutoka mbali, lakini huwezi kuelewa kwa undani kile wanachopitia. Kama kweli una hoja za maana kuhusu nchi yetu, njoo Tanzania uziseme hadharani badala ya kutoa maneno ya dharau ukiwa umejificha katika nchi za watu wengineHakuna popote nilipowapangia hapa tunafanya majadiliano, abstract discussion.
Sasa nawezaje kumpangia mtu kupigania haki katika abstract discussion?
Unafahamu abstract discussion ni nini?
Unasema "wewe mkimbizi tu" kwani mkimbizi hatakiwi kuwa na mchango?
Huu ujinga wa kuwa exclude watu fulani huoni ndio huo huo unaotumiwa na CCM kuwa exclude watu wasio CCM?
Huoni kuwa unarudia dhambi hiyo hiyo ya ubaguzi unayoipinga ikifanywa na watawala na CCM wanapowadogosha watu wasio CCM na wasio watawala wenzao?
Huoni kuwa hii habari nzima ya "wewe mkimbizi tu" ndiyo dhambi hiyo hiyo CCM wanafanya kusema "wewe mwanaharakati tu"?
Huelewi kuwa unafanya dhambi ile ile ya ubaguzi unayoipinga kwa watawala?
Unapinga ubaguzi au unapinga ubaguzi unapobaguliwa wewe tu, ika wewe kubagua wengine una9na sawa tu?
Wewe wasema!Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Hili linaweza kuwa kweli , usishangae watu wakijitokeza kupiga kura kwa wingi , vilaza ni vilaza tu.Wewe wasema!
Haiwezekani jeshi kuchukua Nchi halafu eti liwape mara technocrats mara raia baada ya miezi 18.. labda kama unamaanisha baada ya miaka 18.Sio lazima wanajeshi wawe mbele unakuwa na serikali ya technocrats, wataalamu kuweka mambo sawa kwa miezi, 18 huku nyuma wakikingiwa kifua na jeshi kama ilivyofanyika Nepal. Baada ya miezi 18 uchaguzi unafanyika ulio wazi, huru, haki chini ya katiba mpya, tume, tume na mahakama huru.
Hiyo serikali inaweza kuongozwa na Warioba na mawaziri wazalendo wengine ndani ya hiyo serikali kama Shivji, Heche, Mbatia, Mpina, Polepole, Tesha, Kalemani nk.
Umeongea upumbavu 🚮