Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,315
- 144,721
- Thread starter
-
- #201
😀.Ndio maana unajiita Nyani you belong to the jungle na sio Uraiani.. Fisadi mkubwa wewe ukusikia Tesha unatetemeka, mwisho wenu umekaribia...The End of Dynasty 🇹🇿
Hao wana utoto sana. Halafu ukienda nao tofauti tu wanakimbilia kutukanaNi mpumbavu TU ataamini hiyo clip. Kama unaiamini, nikupe pole kwani akili Yako ipo tenge
Waache wewe upo ugaibuni huko unaweka machapishi tu. Kila mtu atapambana kwa nafasi yake.Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Kwema kiongoziNaunga mkono hoja
anamuita president mamaVijana hapa JF, ni wa kuhurumia. Kama ulimsikiliza huyo so called Captein alikuwa anasoma na anatetemeka
Umetoa hewa yako. Ahsante.Waache wewe upo ugaibuni huko unaweka machapishi tu. Kila mtu atapambana kwa nafasi yake.
Kama wewe umekimbia nchi na huna msaada wowote huko ulilo, waache wenyewe wajipambanie kwa njia wanayoona inafaa.
Ukondoo, umbuzi ama usimba na uchui wao watajuana.
Mhm kama binadam ambao tayar tunaushahidi juu ya ukombozi, vivyo hivyo uamini Tanzania nayo ni sawa tu na hizo nchi same kwa raia wake.
Binadamu habaki milele kwa tabia hizo hizo na mienendo ileile.
Kama ambavyo teknolojia imeingia na watu wameweza kuikubali na kuendelea kuenjoy.
Kizazi chako sio cha leo,wala kesho, wala kesho kutwa. Hulka ya binadamu huwezi kuipa dhamana.
Afadhali hata wanaotupa matumaini hewa kuliko waliokaa kimya.
Amethubutu kuongea kiume .
Tumpe hongera
Kamkundu wee, ili bichwa umejaza minyoooo ???.
Video ifanye JWTZ watoke usiku usiku ??.
Kapuuzi wewe, watu msokua na akili Huwa mnamatatizo kwelikweli.
Hivi unaweza Solve tatizo la ghafla Ndani ya familia yako?.
hudhuria kampeni chiefWapi hiyo. Watanzania mnaraha sana huko. Pamoja na kufungiwa JF hizo mbususu zinawapa burudani.
Sasa hivi nchi ipo vitani. Maadui wa Tanzania ni Genge linaloongoza. Maadui wapo ndani ya nchi wameshika mifumo yote, nafasi zote za uongozi na kuziba njia zote za kidemokrasia za kuwaondoa madarakani.Maana yake kwako hata utawala wa kijeshi ni sawa tu.
Hata mimi naliona, sisi watanzania kwa ujumla wetu kwa bahati mbaya sana tupo tu tunaenda na namna upepo unavyoenda. Usishangae hata kidogo kuona mistari iliyoshiba watu wakisubiri kupiga kura.
Kwema kakaKwema kiongozi
Kampeni za wapi chief? Huku hakuna uchaguzihudhuria kampeni chief
Ndiyo maana vyombo vya magharibi vimekaa kimya juu ya hili? Inaonekana, 'basket10' hana makando kando ya nchi za magharibi kama wengine. Na hii inaweza kuongeza 'legit' yake ! Na kukaa kwao kimya kwa weza kutafsiriwa huwenda wananufaika na kinachopingwa na 'basket10'.faraja ya muda mfupi