utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.
Komba mwenyewe anatakiwa aende jeshi kupunguza tumbo!
Komba unastahili sifa kwa kuwa mkweli
Komba unastahili sifa kwa kuwa mkweli
Mh.komba amemtuhumu lissu kua anafujo kwa sababu hajaenda jeshi kunyoshwa na spika akakazia tena miaka miwili ili wauze sura vizuri kwenye magazeti ndo wanambinga mlichomtuma mbunge wenu huyo komba asiyetaka nyie msipate habari n kukashifu wenzake?
huyo ni mlevi wa CCM hawezi kukuelewa mkuuHuyo mwimba kwaya na mcheza ngoma ameongea ukweli gani.INAONYESHA HATA JINSIA YAKO HUITAMBUI.