Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,991
Mmevurugwa nyinyi misukule ya chakubanga
Jichovye unuse....
Mmevurugwa nyinyi misukule ya chakubanga
Kukihuka ndio kitu gani hiki? Yaani nyinyi watu mliosoma shule na vyuo vya kata ni 'hopeless' kabisaKama alizikihuka, kamshtaki.
alikua Geneva muda si mrefu unamtaka wa nn kwani? ni mzee tajiri, msomi ameisaidia sana serikali zilizopita
thibitisha apo kwenye pesa zakeUnalijua vizuri Hilo jimbo? Mimi nimesoma mojawapo ya shule kwenye Jimbo Hilo yaani nimrod mkono amefanya maendeleo makubwa mno- shule, Barabara, hospital, vyuo n.k Tena kwa pesa zake mwenyewe nenda uguse pale uone Kama wanainchi watakukubali.
kashaga pelekaMkono kama Kweli haonekani bungeni na hajavuliwa ubunge basi atakuwa alipeleka taarifa zake kwa spika kama yupo wapi
waliandamana wananchi au UVCCM?Umewahi kuwasikia wananchi wa Butiama wakilalamika?!
Kule Ikungi wananchi waliandamana baada ya kuwaona Lisu na Mbowe wakila mapochopocho kule Ubelgiji!
Kwani UVCCM siyo wananchi?!!!waliandamana wananchi au UVCCM?
Mathayo David Mathayo wa jimbo gani?
Au ulimaanisha Vedastus Mathayo?
Au yule kolo wa Same?
Hongera wewe uliyesoma vyuo vya Tarafa!Kukihuka ndio kitu gani hiki? Yaani nyinyi watu mliosoma shule na vyuo vya kata ni 'hopeless' kabisa
naskia aliumwa akappona badae akaomba aendelee kuumwa maana akijofanya kapona tu anaunganoshwa kesi ta wale wakina rugemarila na seth
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja watu wa LUMUMBA waje kutupa mrejesho.Kwema wakuu?
Niende kwenye mada, huyu mbunge amekua kimya Sana kwa kweli. Mara ya mwisho ilisemekana alikua akitibiwa, je amerudi? Alikua akiumwa nini hasa?
Ni katika kutaka kujua tu wakuu
Nimemdhihaki wapi ndugu Yangu?Sio vizuri kudhihaki wagonjwa