Kapigwa...

Kapigwa...

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
373975_10150764531846983_741191982_11326533_1853998369_n.jpg
 
Hii imenisikitisha yaani kaharibika sura.Kama una habari zaidi,huyu amepigwa na mumewe,boyfriend,majambazi au vibaka?
 
Inaonekana kama kanywa bia za watu na Mchemsho akataka kusepa kimya kimya: Maana sura yake inaonyesha mtu wa kidunia (starehe) sana.
 
Kwanza huyu ni nani maana sisi wengine hatuwajui vema ...
 
eti wajameni huyu nae nani??ila pole mrembo..
 
niliiona kny blog ya lindaikeji....ni mnaigeria kapigwa na mumewe nadhani...story yake sikuisoma mie habari za kutisha kama hivi sisomagi
 
Hapana jamani, atakuwa amepata ajali ya piki piki huyo.
 
niliiona kny blog ya lindaikeji....ni mnaigeria kapigwa na mumewe nadhani...story yake sikuisoma mie habari za kutisha kama hivi sisomagi

Mnaijeria gani! Mbona uyu wa hapa hapa? ----mag*d*r* ya ddma.---
 
niliiona kny blog ya lindaikeji....ni mnaigeria kapigwa na mumewe nadhani...story yake sikuisoma mie habari za kutisha kama hivi sisomagi

Lindaikeji ni kama mange vile haaa muke ya muzungu.
 
Akachukue PF 3 kituo cha Polisi kwaajili ya matibabu. Oooopppsss! Inasikitisha sana lakini pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom