Kaolewa ila ananitaka nifanyeje?

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,101
415
Kuna mdada tupo naye ofisi moja , yeye kaolewa mimi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka.

Yeye kila wakati huwa anataka amfahamu mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli sina mchumba wa uhakika, ila kuna mahali huwa nazjipooza hali ikiwa mbaya.

Haikuwa taabu ila sasa hivi kaja kivingine mara ananiambia mi mtoto mdogo sana siwez mambo hata akinipa nitachemsha mi nikafikiri ni masihara, ila sasa hivi anataka kabisa nikampe majambozi.

Sasa nifanyeje? niuchune au nimwonyeshe kuwa mi ni kijogoo?

Wana JFnaombeni mchango wenu.
 
jifanye kijogooo halafu uje utuambie kwa nini wanasema mke wa mtu ni sumu..

kaa mbali naye na muogope kama ukoma usilogwe na nyeeege zako ukaenda kumduuuu utakufa..
 
duuh kaka mke wa mtu sumu anatumia njia ya kukwambia hivyo ili nawe uingie mtegoni kwa kutaka kumthibitishia kwamaba we kidume atakuwa amepata kile alichokuwa anakihitaji toka kwako. mimi naona jambo la msinigi we mpotezee kwani ukionja maa moja itakuwa vigumu kuacha na mwisho wa siku mumewe akigundua itakuwa bonge la msala au anaweza kukufanyia kitu kibaya
 
kuna mdada tupo nae ofis moja , yy kaolewa mi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka, YY kila wakati huwa anataka amfaham mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli sina mchumba wa uhakika, ila kuna mahali huwa nazjipooza hali ikiwa mbaya.Haikuwa taabu ila sasa hiv kaja kivingine mara ananiambia mi mtoto mdogo sana siwez mambo hata akinipa nitachemsha mi nikafikir ni masihara, ila sasa hiv anataka kabisa nikampe majamboz, sasa nifanyeje? niuchune au nimwonyeshe kuwa mi ni kijogoo?wana jf naomben mchango wenu

ongea nae kiutu uzima unaweza ukamega huo mzigo.
 
Mke wa mtu sumu ndugu yangu, mshauri atulie na mumewe aache tamaa, ila akizidi kujingelengesha na kukuona wewe bweg-e kamua baba! kwani kitu gani aghhhhh
 
achana naye kawaida huwezi jua unaweza kujaribu ukazoea maana chovya chovya ....................
 
Mfanye kama anavyotaka mi nashauri usiwe kijogoo tu ukiweza kuwa beberu au mbwa dume si unajua wamezoea kuama kipind cha period ,sasa wewe amia kwake kabisa lazma hatakuheshmu.ushauri wangu kwako.
 
Mkuu hii hali inamtesa sana broo wangu, broo alimtongoza demu(kabla hajaolewa) akachomoa kipindi yuko G/mboto sasa anaishi Tanga na mmewake, Ila sasa hivi anamjia kasi sana broo kwa kumpigia cmu anamwambia isingekuwa mtoto bado mdogo angekuja dar! huku anamponda baba watoto wake kwani huwa anasafiri mara kwa mara.
Kuwa makini sana na wake za watu wanajua kukuteka kiakili.
 
Huyo ameshaonja kwa mme ameona hakuna ladha na inawezekana anabaki anapiga miayo ya kiu na njaa kali tu. Atakuwa anatafutamahali pa kubadilishia ladha. Ukimmega tu akasikia mambo safi atakung'ang'ania na mwisho wake inaweza kukuletea soo.
 
Sawa mke wa mtu sumu,
lakini nahisi huyo dada hapati hudum inayotakiwa ndani mwake
hivyo ni bora apate msaada wa nje, tofaut na hivyo maisha yake hayana maana wala furaha kwan hata wanaume wengine wanaona poa tu kusaidiwa majukum yao,
ongea naye ujue tatizo lake la kutoka nje kama ni kutotoshelezw
we kula kwa umakini.
Ikiwezekana chukua kabisa umpe furaha ya maisha.
 
kuna mdada tupo nae ofis moja , yy kaolewa mi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka, YY kila wakati huwa anataka amfaham mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli sina mchumba wa uhakika, ila kuna mahali huwa nazjipooza hali ikiwa mbaya.Haikuwa taabu ila sasa hiv kaja kivingine mara ananiambia mi mtoto mdogo sana siwez mambo hata akinipa nitachemsha mi nikafikir ni masihara, ila sasa hiv anataka kabisa nikampe majamboz, sasa nifanyeje? niuchune au nimwonyeshe kuwa mi ni kijogoo?wana jf naomben mchango wenu

Kwani we huna misimamo yako na misingi ya maisha yako uliojiwekea? Swali kama hili hukupaswa kuliuliza humu utajichanganya bure afu mwisho wa siku useme ulishauriwa...
 
jifanye kijogooo halafu uje utuambie kwa nini wanasema mke wa mtu ni sumu..<br />
<br />
kaa mbali naye na muogope kama ukoma usilogwe na nyeeege zako ukaenda kumduuuu utakufa..
<br />
<br />
Kweli mkuu. Jf watuongezee like button bwana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom