Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
Hizi title zenu hiziiii....
Hizi tnguageitle zenu hiziiii....
Hahahahah! nimecheka sana yaani huyu mtu ana masifa kaandika hivi makusudiHizi title zenu hiziiii....
Mali yake mwenyewe uchu wa nini sasa! anaangalia kwa kuibia badala ya kujiachia.
Nina mashaka nae huyu jamaa atakuwa anakula samaki pande zote
Mbali na alivyo kila siku umegundua wanawake wanabadilika badilika kuna siku anazidi kuwa kama Malaika(uzuri wake unaongezeka zaidi), sijui na wewe umeshakutana na nnachokielezea hapa?mi pia mkuu kuna wakati huwa namshagaa wife,nabaki kujiuluze huyu nilimpateje?
_Mungu alinipendelea na sinaga tamaa na nje