ukiona mchanga ujue umeliwa.................uzito utakudanganya tu..........
Madamex, simu ya kwanza unaoneshwa kali inafanya kazi kila kitu tatizo ni pale anapokwambia toa hela au ngoja notoe memory card anazungusha mikono nyuma )au anajifanya kuweka kwenye box) na kukupa kanyaboyaSasa vipi ununue simu bila kucheck kama inafanya kazi? na hiyo simu usikubali irudishwe kwenye box