Kanuni za Maudhui: TCRA yatoa notisi kwa wasiojisajili kusitisha huduma mara moja

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imetoa notisi leo na kuwataka wanaotoa huduma za kimtandao(maudhui) ambao hawajajisajili kusitisha mara moja utoaji wa huduma.

photo_2018-06-10_20-51-24.jpg

photo_2018-06-10_20-51-28.jpg
 
Kwa manbo haya,CCM hii ni lazima ianguke tu.

Kila mtu na kila kundi katika jamii sasa limekuwa mhanga wa huu utawala hivyo sioni ni namna gani chama hiki kinaweza ku-survive kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki.

Naona imeandikwa, pengine Mbinguni, CCM hii ni lazima ianguke sasa.

Tunakokwenda itakuwa ni kazi hata kucheza na matokeo na itakuwa ni rahisi sana kushinda mahakamani kwa jinsi watakavyokataliwa katika sanduku la kura.
 
Online Forums na Post ni maneno yanayoonekana kutiliwa mkazo na aliyeandika hii barua.

Swali kichwani mwangu: Kwanini amri hii imetolewa Jumapili na kwanini inatakiwa kutekelezwa mara moja?
Kwani JF imesajiliwa au bado?,kama tayari basi tukaeni na kuendelea kupost kama kawaida.
 
Kwa manbo haya,CCM hii ni lazima ianguke tu.

Kila mtu na kila kundi katika jamii sasa limekuwa mhanga wa huu utawala hivyo sioni ni namna gani chama hiki kinaweza ku-survive kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki.

Naona imeandikwa, pengine Mbinguni, CCM hii ni lazima ianguke sasa.

Tunakokwenda itakuwa ni kazi hata kucheza na matokeo na itakuwa ni rahisi sana kushinda mahakamani kwa jinsi watakavyokataliwa katika sanduku la kura.
Mlizoea holela
Hakuna uhuru usio na mipaka
kwenye chaguzi ni nyie mnaolalamika kuletewa msg za kukampeni chama fulani bila ya kutaka,sasa mambo hayo yatakua ni historia
 
Back
Top Bottom