Kanuni za Maudhui: TCRA yatoa notisi kwa wasiojisajili kusitisha huduma mara moja

Kwa manbo haya,CCM hii ni lazima ianguke tu.

Kila mtu na kila kundi katika jamii sasa limekuwa mhanga wa huu utawala hivyo sioni ni namna gani chama hiki kinaweza ku-survive kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki.

Naona imeandikwa, pengine Mbinguni, CCM hii ni lazima ianguke sasa.

Tunakokwenda itakuwa ni kazi hata kucheza na matokeo na itakuwa ni rahisi sana kushinda mahakamani kwa jinsi watakavyokataliwa katika sanduku la kura.
idio, hivi tangu lini sheria na taratibu zinakusiana na chama??? Hivi ulivyo la ajabu, mbona huko limbowe lenu limeng'ang'ania uenyekiti na mpo kimya????? Yaani mijitu imekuwa haina akili kabisa yaani kila kitu cha kiutendaji imekuwa ni CCM, CCM, utadhani TCRA inaongozwa na muongozo au sheria za CCM, yaani mnachekesha. Ina maana kama UKAWA wangeshinda leo hii kila msimamo wa vyombo vya serikali na mashirika tungewalaumu UKAWA????? Yaani mambo ya kisheria tuache watendaji wafanye kazi tuache mihemuko ya kuonesha uwezo mdogo wa akili. Sema kingine JF imejaa vitoto vitoto
 
Mbona povu
Kasindano kamepenyae
 
TCRA ikikataa kuipa leseni JF,
JF itakachofanya ni kurelocate lets say wanapeleka HQ Nairobi,natofauti na watu wanavyodhani kuhamisha kampuni kama JF haizidi hata nusu saa,labda watablock lkn watu wataendelea kuaccess kupitia vpn,
Nairobi huko nako Uhuru hasomeki......labda useme kwa mzee trump....ila utamu wa jf ni kujua tu ni ya mTanzania na ipo Tanzania ikitoka huko inaweza kukosa ladha ikawa kama forum nyingine tu hii bongo watu wenye uelewa wa kutumia vpn wachache
 
Pamoja na vizingiti vyote Mungu ibariki JF, ni moja kati ya jukwaa langu pendwa la kujifunzia mambo mbalimbali
 
Back
Top Bottom