Kanuni za blind dating

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Najua humu jamvini haya mambo yapo sana,

1. Usifanye hii kitu kama una huruma sana maana unaweza shindwa kumtosa mtu ambaye hajakuridhisha.

2. Kama ni mwanaume inatakiwa kuwahi kuliko mwanamke. Utaonekana serious pia inakuongezea ujasiri.

3. Mwanamke haitakiwi kuwahi kuliko mwanaume. Hii itakufanya uonekane desperate na pia tunapenda unavyokuja tusaminishe matiti, umbo na ukuu wa wilaya. Tukikukuta umeisha kaa hatuwezi jua kama ni flat screen au lah.

4. Mwanaume unatakiwa kuvaa neutral. Usiruhusu mavazi yakudefine.

5. Mwanamke dress tu impress. Kama unatafuta ndoa vaa ki wife wife. Kama unatafuta kugegedwa tu vaa hivyo pia.

6. Epuka maneno kama nakupenda au ntakuoa kabla ya kukutana.


7. Kama haujaridhishwa na huyo uliemkuta usionyeshe kuwa disappointed hapohapo jaribu kuficha hisia. Pia usionyeshe kudata sana.

8.
Kama ni mwanaume ni vema ukawa na gazeti ila lisiwe uwazi au risasi.
 
ndo mana tongozo za mitandaoni sipendi kabisaaaaa!!!
kuchoreshana tu bure
 
uwanzishie uzi best
na unavojua kusimulia utanoga sana

Poaaaa! Manak ni mtamu huo ubuyu wa pemba!

CARDINAL RULE YA BLIND DATING NI TANGULIZA PICHA YAKO, IKIFELI INTERVIEW USIJISUMBUE!!!!!!:lol:! Tusiishi kama zama za babu mambo ya DIGITALI YAKO, why take a maximum risk? Sema kwa sisi wahuni wa mjini ujihadhari na

1. Kanya boya! Unakuwa hujiamini so unamtafuta mtaalam wa haya mambo ankuwakilisha afu unakuwa mshika pembe kidesign, afu mtaalamu anajifanya hajakusoma, yule mpambe muhuska ndo anajiongeza, hapo baada ya kufikia viwango vya FIFA, ukiwa chini ya kiwango wanakuzingua tu.

2.Kupelembwa! Ile out of courtesy ili muhusika asijisikie vibaya kwamba hafikii viwango vya FIFA, anakuwa led along na fake relation kwa mda mfupi afu anatafutiwa sababu zisizo na tija za kutemwa ili kumpa moyo.

3.Mnaweza kupendana kimuonekano yeah, lakini CHEMISRTY ikagomaa kabisaa, mnajikuta tu hamna chemstry sasa yale mambo ya mechi za kirafiki ndo yanakoleaaa.

4.Swala la too much expectations. WE MBAYAAA AFU UNATEGEMEA MWENZIO AWE MZURI!!!!!!!!!! Hahahaaaa! Na unaweza kujihisi mzuri ukakuta mwenzio mzuri zaidiiii level za MONEY Stuna na Vin Diesel (Msije kuanza oooh Lara ashaanza kujitongozesha kwa Muhaya Money Stunna la hashaaa, kizuri lazima nisifie, japo ndio ya sio inaweza kuwa ndio ama sio kiundani. Vin Diesel chama langu all day every day!)
 
Last edited by a moderator:
hapa cha msingi ni kumake first impression nzuri. kumbuka hii ni blind date.

Ni dáte inayoweza kuwa mwanzo wa nyingine kibao, unamu-impress mtu ambaye utataka kumuona tena. Ukishaanza maigizo mwanzo, inabidi uendeleze, unakuwa mtumwa tayari.
 
9. Angalia Exit iko wapi mapema, ili akitokea kama hujampenda unaanza bila yeye kukuona

Hahahahah nature ya kazi yangu na hayo makurumbembe hili ndio jambo la kwanza kulitazama..nikiona hamna option najipigia simu huku nikiswampa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…