Kanuni kuu ya mapenzi ya millenial

Kanuni kuu ya mapenzi ya millenial

[emoji3][emoji3] Jamani

Huyu dada nilionaga insta video zake anavyojishembendua..kumbe kaolewa na zungu zee hivi..[emoji3][emoji3]

Hongera yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ninauchungu..Hapa nasaka hela nikagonge copy kwa mkongwe J.LOPEZ..Then nirudi kwa wakina Ventura😂😂😂..Nikatingize ngome za mkubwa Didy
 
Yaani ninauchungu..Hapa nasaka hela nikagonge copy kwa mkongwe J.LOPEZ..Then nirudi kwa wakina Ventura[emoji23][emoji23][emoji23]..Nikatingize ngome za mkubwa Didy
Never give up Kop..

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Ewe KIJANA mwenzangu wa KIUME.
Naongea na wewe kijana mwenzangu uliye SINGLE kama Mimi.

Kuna KANUNI 3 KUU za MAPENZI ya SIKU HIZI, bila hizo ni MAUMIVU TU....

1. Tafuta hela.
2. Usiache kutafuta sanaa mkwanja.
3. Yaani piga ua garagaza LAZIMA ue na pesa.

Bila mtonyo WATOTO WAZURI wotee utaishia Kuwaita SHEMEJI.

Kwani we hutaki kula papuchi za watoto wazuri zilizo tamu..??
Haya Tafuta Maweee....

NB:
Bachelor mwenzangu TAFUTA PESA then zitumbue kwanza ukiwa single.
Kula kwanza nguvu zako kwa nafasi iliyo huru halafu ndio uoe.

Yaani vile unapata hela hapohapo ndio unaoa... Dah MAJANGA HAYA.. HATA UFAIDI pesa zako ulizotafuta kwa jashoo ukiwa singel..!!!

Ila pia usisahau Dangote na mwenzake Benzos (Amazon) WAMEKIMBIA NDOA zao..!!!
Tajiri wa Africa na Tajiri wa dunia WAMEKIMBIA NDOA ZAO.

Yaani ma role model wa KUTAFUTA hela wameachana na wake zao, wewe mwenzangu bank account ina digit chachee kama marks za mitihani ya combination za PCB na PCM halafu UNAKIMBILIA HUKO kwenye ndoa...!!!!

#Mcheki mzee anavyofaidi (picha).
#Mkono mtupu haulambwi..

#YNWAView attachment 1412801

Wrote from Anfield..!!
huyo mzee lazima atakuwa anapigiwa sana yaani sana tafuta hela kwaajiri yako na si wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli wa kauli yako ni kwamba pesa inarahisisha kazi na kuokoa mda vitu vingi vinavyopatwa na mtu ambaye hana pesa anaona nibahati ila mwenye pesa ni vitu viko calculated sana .....shida nikwamba umempata mtu kwenye best yako inakuwa ngumu kufaham tabia yake halisi je siku ukikosa itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli wa kauli yako ni kwamba pesa inarahisisha kazi na kuokoa mda vitu vingi vinavyopatwa na mtu ambaye hana pesa anaona nibahati ila mwenye pesa ni vitu viko calculated sana .....shida nikwamba umempata mtu kwenye best yako inakuwa ngumu kufaham tabia yake halisi je siku ukikosa itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Warren Baffet ""kwenye maisha jiulize nini unaogopa kikitokea kitamaliza hela zako? Halafu jitahidi kisitokee""

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Back
Top Bottom