Kanumbas Burial Updates.

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Tunaomba Picha hapa.

Umbea niliosikia.

1. Mpaka sasa fence ya makaburi ya kinondoni ipo chini.
2. Leaders pamajaa hakuna mfano kwahiyo kuna watu wamewahi ,akaburini.
3. Watu walio juu ya miti ni wenge kuliko wale walio chini.

Huu ni umbea tu napata kwa walio maeneo hayo.

Picha please!!!!
 
Nimekubali njia yako hii ya kutaka kuona kinachoendelea
 

hajambo Bagah?
 
Jamani tunaomba tushiriki kwenye msiba kwa njia ya picha sisi wengine tupo kigoma hatuwezi kufika uko
 
Wamevunja fence?
"TFF WATAWATOZA FAINI NA KUWAFUNGIA MILELE"
 
Mademu wengi wamepoteza viatu vyao makaburini... Huku wauza maji na juice wakitengeneza pesa sana siku ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…