Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

Kumbe alikuwa mwana CDM ! Mbona magamba wamefanya kama msiba ni wa kimagamba ili hali ilitakiwa usiwe wa kiitikadi zaidi...
 
Bahati yenu magamba jamaa alikuwa anataka kuwanyoa kwenye moja ya majimbo peoples power
 
mbona thread haina mshiko, jamaa alikataa kupiga kura alafu mnamuona wa maana!! hawa ndio wanakwamisha nchi yetu kwa kuchagua vilaza.
R.I.P SK
 
asee JF ni zaidi ya habari..yani mtakatifu Ivuga umeiibua kutoka mafichoni dah...i love JF
 
Back
Top Bottom