Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

Mtawavurugia wafiwa, sasa hata akina Azan na Six wataghairi kutoa rambirambi!
 
Wakuu mbona ili lilikua wazi muda mrefu sana?!!Kwa mtu kama Kanumba aliyekua na msingi mzuri wa elimu(form six leaver na si STD seven leaver),aliyejipigania kwa jasho na ubunifu wake mpaka akawa na mafanikio ya kimaisha,ilikua ngumu sana kwa yeye kuwa katika chama chenye dhuluma,uuaji na ujambazi wa rasilimali za nchi, R.I.P KAMANDA S.C.KANUMBA
 
Mtawavurugia wafiwa, sasa hata akina Azan na Six wataghairi kutoa
rambirambi!

Haituhusu wakitaka watoe wasitoa sawa,yaelekea wapenda sana rambirambi.Mpango wa yeye kugombea ubunge nn madhara yake!
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche

Mkuu, ni wazo zuri na jema na bilashaka umaarufu wake ungembeba sana. Ni bahati mbaya kwamba hakufikia malengo yake.

Lakini swali moja jepesi ambalo litawahusu watu maarufu hususan wasanii ambao watakuwa na nia kama ya kwake ya kutaka kugombea ubunge.
Do you really have the political will and credits for being MPs?
 
Wakuu mbona ili lilikua wazi muda mrefu sana?!!Kwa mtu kama Kanumba aliyekua na msingi mzuri wa elimu(form six leaver na si STD seven leaver),aliyejipigania kwa jasho na ubunifu wake mpaka akawa na mafanikio ya kimaisha,ilikua ngumu sana kwa yeye kuwa katika chama chenye dhuluma,uuaji na ujambazi wa rasilimali za nchi, R.I.P KAMANDA S.C.KANUMBA

Mimi nilikuwa sijalijua hilo ndo kwanza nasikia
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche

Mungu alimpenda zaidi.
 
Mtawavurugia wafiwa, sasa hata akina Azan na Six wataghairi kutoa rambirambi!

Mkuu unamind mshiko kumbe wewe ukifiwa unachungulia rambirambi tu za wakubwa tuu,lakini safi hapa JF kunasaidia kuona watu wa aina mbalimbali,wengine wao mtu afe asife mshiko mbele.
Hata kama alichukua kadi ya CDM wakulu wataenda tuu usijali.
 
Nimemsikia mkuu wa kaya msibani kupitia radio ya wafu anamsifia Kanumba kua alikua kijana mtanashati,mzuri hata umbo lake lilikua zuri,nimecheka kupita kiasi
 
Bill Clinton aliwahi kuwa Mcheza sinema. Tanzania sasa hivi tunahitaji kiongozi "very unconventional" kuweza kutubadirisha huku tuliko. Inatakiwa tuipe nafasi damu changa ya kutosha na nahisi hapa tumepoteza mojawapo ya damu hizo! Kuthubutu na ushindi wa Sugu nadhani ni chachu ya kutosha kutusaidia kuwapata watu wengi "unconventional".

Mie nawashauri Kina Mwana FA, Kina Mkoloni, na Kina Afande Sele; Watafute vyama vya siasa wanavyoona vinawafaa na wagombee kuingia mjengoni; tunawahitaji mno! Wana mawazo mbadala.
 
Back
Top Bottom