"kanumba alikuwa na umbile zuri"JK

"kanumba alikuwa na umbile zuri"JK

hata mi nashangaa.....pole mwaya shosti kwa msiba.....hendsam wetu ndo kama vile tena.....
wetu sote mpenzi..nafikiri ni katika kufarijiana zaidi yakamtoka yalomtoka sasa watu wameyakuuza kama nini sijui
 
hata mi nashangaa.....pole mwaya shosti kwa msiba.....hendsam wetu ndo kama vile tena.....
Raisi wenu huyo mlimchagua kwa u-handsome wake. Mtu kama Mwinyi au*mkapa asingeweza *kuropoka ule upumbavu..:blah:*:blah:
 
Raisi wenu huyo mlimchagua kwa u-handsome wake. Mtu kama Mwinyi au*mkapa asingeweza *kuropoka ule upumbavu..:blah:*:blah:

jamani penye ukweli lazima tuseme......
 
Hayo aliyasema alipokwenda kuifariji familia ya kanumba.Hivi ni nani aliyetuchagulia huyu raisi,Raisi gani anasifia wanaume wenzie.:yell:

Tehe! Tehe! Hzi ndo adhari za kusali uchi(freemason) mkuu mzima alikuwa anammezea mate braza men mwenzake. Kweli Jk anapenda ile mambo.
 
Ila tatizo la hii habari iko kwenye jokes.....
Ntaiaminije?
 
sis tunaangalia alichokisema na sio tafsiri zako.ushawahi kumsikia mwanaume anmsifia mwanamme mwenzie kwa kusema "fulani mzuri".hata kwa mwamme ambaye hajasoma hilo neno ni invalid.ungemfundisha kutumia neno "tanashati kabla hajaenda kwenye msiba broo!:rant:

mbona unalazimisha mawazo yako kuwa sheria? Kwa vile we hujasikia unadhani wote wako hivyo hivyo?
 
raisi wenu huyo mlimchagua kwa u-handsome wake. Mtu kama mwinyi au*mkapa asingeweza *kuropoka ule upumbavu..:blah:*:blah:

mbona mwinyi aliwahi kusema 'uchumi mnaukalia huo' mkabadilisha maneno weeee..!?
 
jamani nani aliyempigia simu lulu usiku mpaka akasababisha msiba wa kanumba?kuna tetesi kuwa ni mtu maarufu saana na msibani alikuwepo.mara baada ya kanumba kujua kuwa ndo aliyepiga simu na lulu kukubali kuwa ni wapenzi hata wewe ungekasisirika saana chukulia kuwa kanumba ndio aliyemtia b....lulu..
 
msiba wenyewe ulichanganya,
alishindwa aongee nini kwenye
wale waombolezaji,
kwa mara ya kwanza leo mimi namsamehe.
 
Back
Top Bottom