Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Wakati ‘Jakaya Kikwete’ rais wa Tanzania.
Simulizi
Kipindi ambacho mtoto wake Ridhiwani alisha ukwaa ubunge na hakumpa uwaziri; japo angeweza fanya hivyo angetaka bila ya pingamizi.
Kwakuwa JK ni kada wa kulelewa na chama alijua usotaji wa kuwa waziri upewi tu.
Lingine
Kuna interview moja ya Ridhiwani akiwa mmbunge kipindi cha Magufuli. Aliwahi ulizwa:
Mtangazaji: ulikuwa unajisikiaje baba yako alivyokuwa anatukwana akiwa raisi.
Ridhiwani: ukweli nilielewa ni sehemu ya nafasi yake. Kwa sababu nimekuwa akiwa mwanasiasa. Iła alipokuwa raisi kuna matusi yalikuwa yananikera.
Ridhiwani: kuna siku baba akiwa raisi nikamtolea uvivu nikamwambia hawa watu mbona wanakutukana sana upo kimya. Hata kama wewe hujali mimi inaniumiza.
Jakaya Kikwete; Mwanangu mimi baba yako ndio raisi wa nchi, hujui madaraka makubwa niliyo nayo, nikisema niyatumie hakuna wakunitukana.
☝️Kitu gani kilimpata Jakaya yule na huyu wa leo; kama sio mental case.
Kitendawili?
What happened to this reasonable person?
Mimi naamini ni mental issues, aina maana nipo sahihi.