"kanumba alikuwa na umbile zuri"JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"kanumba alikuwa na umbile zuri"JK

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by yahoo, Apr 9, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hayo aliyasema alipokwenda kuifariji familia ya kanumba.Hivi ni nani aliyetuchagulia huyu raisi,Raisi gani anasifia wanaume wenzie.:yell:
   
 2. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,058
  Likes Received: 1,820
  Trophy Points: 280
  Kama kweli very interesting story!
   
 3. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,600
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Raisi ya Jamhuri ya Muungano. Kazi kweli kweli kama ni kweli.
   
 4. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 9,826
  Likes Received: 2,418
  Trophy Points: 280
  Alikua anavutia pia Mh Dr
   
 5. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kama ulisikiliza maelezo ya jk redioni au tv utakubalian na mm.:nod:
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yap alisema. hakuna rais pale!
   
 7. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  umeona eh! nimepata picha kwanini kameron alikuja tz kutamka yale mambo kwa jk.:nod:
   
 8. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,435
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  nafurahi kama alitamka hayo, maana hii ni uthibitisho tosha kwamba rais wetu ndio wa kiwango hicho, kwanza sioni hata kama alitakiwa kwenda sinza, si angetuma tu salam au mwakilishi jamani.

  hebu niambieni, obama alikwenda kwenye msiba wa whitney houston halafu ndio niendelee kukomenti
   
 9. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Well quoted 'niliwaalika nyumbani kwangu tukala pamoja chakula.....alikuwa na umbile zuri' He meant to say Kanumba was 'HANDSOME' kiswahili jiwe...kigumu jamani eeh, mh!!!
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,954
  Likes Received: 1,659
  Trophy Points: 280
  ...mambo ya pwani yanachanganya..........
   
 11. BCR

  BCR Senior Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukifika kwa mtu mwemye huzuni kawaida unahuzunika nae kwanza ndipo unamfariji, unaeza kuhuzunika kwa kumwambia (ni kweli alikua mdogo kimri, alikuwa mpole, mwenye kusaidia, mtanashati, n.k
  kwa upande wangu, Mhe. Rais alivyosema alikuwa na umbile zuri, ilikuwa na maneno ya kufarijiana tu,
  Ukiwa na mtazamo hasi juu ya mtu kila kitu anachofanya au kusema unaweza ona si kizuri.
  Sometime lets look/hear things in a positive eye/ear
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  tatizo liko wapi jamani?
   
 13. obi's

  obi's JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nakubalia na ww bcr.
   
 14. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  sis tunaangalia alichokisema na sio tafsiri zako.Ushawahi kumsikia mwanaume anmsifia mwanamme mwenzie kwa kusema "fulani mzuri".hata kwa mwamme ambaye hajasoma hilo neno ni invalid.ungemfundisha kutumia neno "tanashati kabla hajaenda kwenye msiba broo!:rant:
   
 15. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  ukitaka kula lazima uliwe.:nod:
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,438
  Likes Received: 2,692
  Trophy Points: 280
  Mko wengi kumbe!
   
 17. s

  sukacv Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We uliyemuwazia vibaya utakuwa unapenda camerun
   
 18. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  nahisi unakaa nyagwa
   
 19. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hujiamini mpaka wakerwa wenzio wakisifiwa?
   
Loading...