Kansai Paint kujenga kiwanda cha rangi Tanzania

Kansai Paint kujenga kiwanda cha rangi Tanzania

Wadau;
Ni kweli Kabisa Kansai Plascon Japan inakuja hapa nchini,kuja kwake nchini kunatokana na wao Kansai Plascon Japan kununua kampuni ya Sadolin EA Ltd,Wameanza Uganda na juzi wamekubaliana na Sadolin hapa, kuhusu Kenya nadhani wanasubiri kujionea mstakabali wa hali yao ya kisiasa kwani Siasa za Kenya si za Majukwaani tu Kama hapa, bali hata Wanasiasa wengi nchini humo ndio wa walioshikilia uchumi na Biashara Kubwa Kubwa.. Asanteni TB
Hata hapa wanasiasa wana maslahi kwenye biashara ila wameanza kudhibitiwa
 
Back
Top Bottom