MsA11
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 303
- 582
Mkuu naomba unipe maana/definition ya neno "kiwanda" (industry)Mkuu hukumsikia waziri mwenye dhamana? Aliaema ukiwa na cherehani 3 tayari hicho ni kiwanda. Tz ya porojoporojo inasikitisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app