Kansai Paint kujenga kiwanda cha rangi Tanzania

Kansai Paint kujenga kiwanda cha rangi Tanzania

Naitafuta hoja yako kwa tochi!
usitafute hoja onesha viwanda gamba. tumechoka kila mgeni akija nchini mnasema tunajengewa viwanda huku miaka inazidi kuyoyoma.msitufanye mafala. viwanda vitajengwa na watanzania.
 
usitafute hoja onesha viwanda gamba. tumechoka kila mgeni akija nchini mnasema tunajengewa viwanda huku miaka inazidi kuyoyoma.msitufanye mafala. viwanda vitajengwa na watanzania.
Huna taarifa ya viwanda alivyozindua Magufuli?
 
Huna taarifa ya viwanda alivyozindua Magufuli?
usilete siasa kwenye uchumi gamba.niambie ni kiongozi gani aliyetoka nje akaja kuahidi kujenga kiwanda hapa Tanzania na kikajengwa?
 
Dah hivi wewe mzima kweli?

Ahadi imetolewa jana leo unataka uone kinanya kazi?
ahadi ya jana ni mfano tu.zimeshatolewa ahadi nyingi sana mpaka leo tunangoja.mimi binafsi msiniingize kwenye huo ujuha wa kusubiri kujengewa viwanda na nchi zingine.
 
Hivi zile operesheni za Chadema ziliishia wapi?
sera ya viwanda na hapakazitu zilitolewa 2015 na kiukweli kazi imefanyika.

Nipe kiwanda kimoja tu kilichosajiliwa chenye vyerehani vinne au vitano!

By the way ukiwa na vyerehani vinne na ukawa producer wa nguo maarufu nchini kuna shida?

Mwambieni Mbowe arejeshe ardhi aliyopewa kwa ajili ya kuweka kiwanda na akashindwa kwa visingizio vya kitoto.
Vp nyumba za serikali zitarudishwa maana nyumba mliuziana Mln tano tano

Ova
 
viwanda vinajengwa daily,kama huamini nenda kipande ya mkuranga industrial area uone
au unasema kiwanda cha baresa,au KILE cha tiles cha wachina ......serikali wanejenga kiwanda gani unachosema,
Mbona sinza n'a kinondoni wachina wana viwanda vya magumashi
Sisi tunataka viwanda walivyojenga serikali ya makinikia

Ova

Ova
 
ahadi ya jana ni mfano tu.zimeshatolewa ahadi nyingi sana mpaka leo tunangoja.mimi binafsi msiniingize kwenye huo ujuha wa kusubiri kujengewa viwanda na nchi zingine.
Tuwekee mifano mkuu
 
Tuwekee mifano mkuu
tulishaambiwa kitajengwa kiwanda cha Honda na Panasonic na wajapan mpaka leo ni hadith toka enzi za mkwere. washakuja waturuki hapa tukaambiwa tunajengewa kiwanda cha nguo mpaka leo holla akaja mchina akasema Tanzania ndio itakuwa center ya viwanda barani Africa mpaka leo hakuna kinachoendelea. binafsi nachukizwa sana na huu utaratibu wa viongozi wa nje kuja hapa nchini na kusema watajenga viwanda na wakishaondoka ndio mwisho wa stori.
 
Viwanda vinajengwa Kwa midomo tu!
Hvi mpaka sasa mshajenga viwanda vingapi vile?

Ova
Utaumia sana ukiwa na roho ya kwa nini kwa Utawala huu wa Magufuli. Ndo kwanza hata miaka miwili hajamaliza bado mingine minane, unasumbuka kukanusha maujanja kibao aliyofanya Magufuli kwa kipindi kifupi, huku wengine wakitumia miaka mingi kuyatekeleza.
 
Hata bomba la gesi mlisema ni maneno matupu!

Hayo mambo ya bomba la gas bora ukae kimya tu. Zile ahadi za kwamba bomba la gas likianza kufanya kazi mkaa ni byebye napata kichefuchefu nikiona hii post yako.
 
viwanda vinajengwa daily,kama huamini nenda kipande ya mkuranga industrial area uone

Hamna anayekataa maana tumeambiwa idadi ya viwanda huko ni 354, wekeni basi hata picha hamna. Sasa huoni mnatizungua tu. Umetoka speed kwenye ule uzi wako wa viwanda sijui kumi huna jipya. Saa hii unalazimisha kujipitisha kwenye ahadi hii ya kiwanda kipya. Alikuja Obama hapa akatuahidi umeme mkubwa Africa Tanzania ikiwa ni mmoja kati ya wafaidika, mpaka ametoka madarakani lakini hamna kitu, ndio itakuwa huyo balozi wa Japan?
 
tulishaambiwa kitajengwa kiwanda cha Honda na Panasonic na wajapan mpaka leo ni hadith toka enzi za mkwere. washakuja waturuki hapa tukaambiwa tunajengewa kiwanda cha nguo mpaka leo holla akaja mchina akasema Tanzania ndio itakuwa center ya viwanda barani Africa mpaka leo hakuna kinachoendelea. binafsi nachukizwa sana na huu utaratibu wa viongozi wa nje kuja hapa nchini na kusema watajenga viwanda na wakishaondoka ndio mwisho wa stori.

Mkuu wacha tu, usinikumbushe nikakumba na ile bandari ya bagamoyo, tukaambiwa hiyo itakuwa kubwa kuliko zote Africa mashariki na mfano wake ni ya Capetown sijui na mikwara gani. Nadhani hawa viongozi wa nje wakija sasa hivi hapa nchini wanalazimishwa watangaze kwamba watatujengea viwanda hata kama sio leo, nao wanafanya hivyo, haichukui dakika 5 vijana wa uvccm wako huku kwenye social media wanatuma na Polepole kuturingishia, oooh sijui babaangu mkubwa amesema ataninunulia chupi nyeupe, mara gari la kuchezea upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom