Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Ni pamoja na hiki cha rangi.Unaweza kurejea ahadi za viwanda zilizoadiwa na hazijaanza kutekelezwa?
Ni pamoja na hiki cha rangi.Unaweza kurejea ahadi za viwanda zilizoadiwa na hazijaanza kutekelezwa?
Naitafuta hoja yako kwa tochi!kiwanda cha nyama kikubwa afrika kutoka Misri kilichoelezwa jana vipi? Kiwanda cha Honda , Panasonic vipi? hivi nyie ccm akili zenu zinafanya kazi kweli. mnaahidiwa kujengewa viwanda mnachekelea kama mazuzu vile. hivi mnadhani Japan mpaka kufikia nchi ya viwanda walikuwa wanacheka na watu kana profesa Lipumba kama mnavyofanya nyie hapa Tanzania. Poor CCM
Ah swahiba Kwema!lkn viwanda tutafisikia kwenye bomba tu mpk 2020 ikifika mtupeni marejesho viwanda vikatavyokuwepoTaratibu kamanda usije kupasua keyboard/screen kwa jazba.
Tulia tupake rangi Tanzania.
Ni hivi majuzi tu Rais alizindua viwanda halafu kuna watu wanasema ni maneno tu.Ah swahiba Kwema!lkn viwanda tutafisikia kwenye bomba tu mpk 2020 ikifika mtupeni marejesho viwanda vikatavyokuwepo
Ova
Duh basi balaaa mbona wanaingia kwenye juhudi za watanzania binafsi,sisi tnataka viwanda walivyojenga wao serikali maana kila Siku viwanda Kwa midomo tuMkuu hukumsikia waziri mwenye dhamana? Aliaema ukiwa na cherehani 3 tayari hicho ni kiwanda. Tz ya porojoporojo inasikitisha sana
Kwa upofu wako usije kusema unasubiri viwanda vilivyojengwa na Chama cha Mapinduzi.Duh basi balaaa mbona wanaingia kwenye juhudi za watanzania binafsi,sisi tnataka viwanda walivyojenga wao serikali maana kila Siku viwanda Kwa midomo tu
Ova
Viwanda mmeviua wenyewe alafu mtaka kuvifufua Kwa midomo tu!Kwa upofu wako usije kusema unasubiri viwanda vilivyojengwa na Chama cha Mapinduzi.
Daah afadhari kuna mgawanyo wa kazi na mimi sio rais.! Vinginevyo watu kama nyie ilikuwa wa kupigwa risasi hadharani ili sumu ya upuuzi wenu isienee kwenye kizazi kijacho.!Viwanda vinajengwa Kwa midomo tu!
Hvi mpaka sasa mshajenga viwanda vingapi vile?
Ova
Wachawi ni chama cha makinikiaaWale wachawi wawaandalie ward maalum kwa yale magonjwa yasiyo na kipaumbele kwa habari kama hizi
Mlikuja na Sri mpya nguvu mpya mkaja maisha bora Kwa kila mtz,mkaja hapa kazi tu hapo hapo mkabadilisha Gia angani n'a nchi ya viwanda ......Daah afadhari kuna mgawanyo wa kazi na mimi sio rais.! Vinginevyo watu kama nyie ilikuwa wa kupigwa risasi hadharani ili sumu ya upuuzi wenu isienee kwenye kizazi kijacho.!
huwa nadhani yule rais wa Korea kaskazini yuko sahihi sana kwa maamuzi anayochukua kwa watu wenye akili kama zenu.
rejea biblia pia Mungu aliamua kupasua ardhi kisha kizazi cha Kora wote wakamezwa ardhini..
sabbu kwa spirit kama hiyo yako unahitaji kipaji cha pekee kuwavumilia watu kama nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hivi wewe mzima kweli?kiwanda cha nyama kikubwa afrika kutoka Misri kilichoelezwa jana vipi? Kiwanda cha Honda , Panasonic vipi? hivi nyie ccm akili zenu zinafanya kazi kweli. mnaahidiwa kujengewa viwanda mnachekelea kama mazuzu vile. hivi mnadhani Japan mpaka kufikia nchi ya viwanda walikuwa wanacheka na watu kana profesa lipumbavu kama mnavyofanya nyie hapa Tanzania. Poor CCM
Hivi zile operesheni za Chadema ziliishia wapi?Mlikuja na Sri mpya nguvu mpya mkaja maisha bora Kwa kila mtz,mkaja hapa kazi tu hapo hapo mkabadilisha Gia angani n'a nchi ya viwanda ......
Viwanda mmeviua nyie chichiem leo mtaka kuvirudisha ki mdomomdomo
Syo viwanda vipo maana tushambiwa ukiwa n'a cherehani 5 tayari kiwanda,wale wachomelwaji mageti nao ni viwanda dah
Ova
alipewa kiwanja kitalu no.ngapi na wapi? toka na umbeya wako wa lumumba hapaMbowe alipewa ardhi ya kujenga kiwanda kaachia pori tu.Shame on you!