Kansai Paint kujenga kiwanda cha rangi Tanzania

Kansai Paint kujenga kiwanda cha rangi Tanzania

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,148
Reaction score
31,679
Kampuni ya Kijapani inayoitwa Kansai Paint inatarajia kujenga kiwanda kikubwa cha rangi Afrika.

Ahadi hiyo imetolewa kupitia aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Japan wakati akimtembelea Rais Magufuli.

Kampuni hii ni maarufu katika maswala ya rangi na mapambo(decoration).

Kwa wale wanaopenda mpira hii ndio kampuni inayoifadhili Timu ya Manchester United(official painter for ManU)

Kansai Paint Co., Ltd

My Take:
Naiona Tanzania ya Viwanda Ikishamiri kwa kasi.

[HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG]
 
...mimi nilidhani tayari wanapiga Msingi wakujenga Kiwanda kumbe AHADI
na tumeshaanza kupiga Makofi anyaway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natoa ushauri wasitangaze ujio wa kiwanda mpaka tuone ujenzi umeanza,mambo ya ahadi hatutaki,tangu kampeni mpaka sasa mnaahidi tu bila vitendo!
Unaweza kurejea ahadi za viwanda zilizoadiwa na hazijaanza kutekelezwa?
 
Magufuli anadeal na makampuni ya ukweli!
 
Back
Top Bottom