Kanisani

Nish

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
730
114
Leo nilipokuwa kanisani nilimwona mtu akivita sigara kanisani lo! nilishtuka nusu nimwage bia yangu.
 
Joke lakini nimeshawi kuona kipeperushi kikilitangaza hilo kanisa tena nakuongeza ruksa kulala na house girl wako.
 
Wakati unataka kumwaga bia mm nlikaa pemben namtongoza yule demu mtoto wa mchungaji
 
Back
Top Bottom