Kuna siku tukifanya usafi kanisani tulipata matunguri madhabahuni yalikuwa kwenye kifurushi pamoja na hirizi.
Niliwaza mno hivi hao watu hawaogopi sehemu patakatifu yani waloge kote sasa wanageukia kanisani.
Ila sjui kama ni mshirika aliyejivalia ngozi ya kondoo maana haiwezakani ni mtu wa nje aliyetenda hilo.