Kanisa la Baptist buguruni Dar es salaam limechomwa moto.. Akizungumza kanisanai hapo kwa uchungu mchungaji wa kanisa hilo Ezekiel Mkumbila amesema wamesikitishwa na sana kitendo kilichofanywa na watu wasioulikana.
Mchungaji Mkumbila amesema kanisa limechomwa ndani na kusababisha hasara kubwa sana..Amesema kanisa hilo lilchomwa jumamosi majira ya saa 8 usiku...Kamanda wa polis kanda maalum ya Ilala amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema ameagiza polisi kufanya upelelezi ili kubaini ni nani waliohusika na uchomwaji wa kanisa hilo...
(Wapo radio news)
Mungu awasamehe hao wachomaji
Khaa!! hata hivyo kulikuwa na utulivu kwa muda mrefu bila ya haya mambo. wengi tulikuwa hatuna kazi ya kufanya :A S 39:Kanisa la Baptist buguruni Dar es salaam limechomwa moto.. Akizungumza kanisanai hapo kwa uchungu mchungaji wa kanisa hilo Ezekiel Mkumbila amesema wamesikitishwa na sana kitendo kilichofanywa na watu wasioulikana. Mchungaji Mkumbila amesema kanisa limechomwa ndani na kusababisha hasara kubwa sana..Amesema kanisa hilo lilchomwa jumamosi majira ya saa 8 usiku...Kamanda wa polis kanda maalum ya Ilala amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema ameagiza polisi kufanya upelelezi ili kubaini ni nani waliohusika na uchomwaji wa kanisa hilo...
(Wapo radio news)
Ni vigumu kuamini tukio hilo hasa kutokana na muda wa tukio kutokea na taarifa kuwa limeungua ndani ru.huenda ni hujuma za ndani ya kanusa
Poleni sana wakristo wenzangu! Vita yetu si ya mwili bali roho