Kanisa lavamiwa sinza

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Habari zilizonifikia sasa hivi zinasema kwamba majambazi wamevamia katika kanisa la Christian mission fellowship ambalo liko sinza kituo cha mugabe na kumpiga risasi ya mguu mtumishi mmoja wa kanisa hilo , haijulikani wameiba bei gani au ni nini walichochukuwa umo ndani ya kanisa

Walioshuhudua tukio hilo wanasema watu hao walikuwa ni 2 walificha silaha yao kwa nyuma mmoja mweusi mfupi alivaa shati jekundu na mwingine mrefu alivaa shati ya mauwa pamoja na kofia

Wakati tunaelekea katika sherehe hizi za christmass na mwaka mpya matukio ya kihalifu yanaongezeka sana , watu wawe makini na shuguli zao za kila siku na kama una wasiwasi na mtu wowote au kitu chochote bora kutoa taarifa kwa vyombo vinavyohusika na usalama wa raia na mali zao
 
Katika hali hii hakuna usalama tena hapa Dar. Nadhani mpango wa enzi zetu kuuliza wageni wnaopita au kuja TZ unakuwa wa muhimu. Kwa jinsi influx ya watu ilivyo kwa jiji kama Dar, control ya majambazi itakuwa shughuli kubwa. Umefika ule wakati wananchi wajichukulie sheria mikononi ili kuondoa kero hii.
 
Hivi Said Mwema na JK wake walikuwa na nguvu za soda kwenye vita dhidi ya majambazi? Maana ilishakuwa shwari kabisa baada ya kukata miziz ya ujambazi.

Ila sasa wamegundua kwamba polisi na serikali ya awamu ya nne ni wababaishaji tu, kwa hiyo wamerudi tena kazini kama kawaida.

Nahisi wale wafadhili wa ujambazi ambao walifikishwa mahakamani na kupewa adhabu ya kutofanya uhalifu wa aina yoyote kwa mwaka mmoja, mwaka umekwisha na wamerudi kazini............Poor Tanzania!
 
Haya ndio mambo ambayo Masha anatakiwa kuyavalia njuga, badala ya kulumbana na akina Mengi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom