.
Kuna neno limemisi, "Kanisa ni Moja Tuu, Takatifu Katoliki La Mitume!'.
Alianza TB Joshua, sasa yanafuatia makanisa haya madogo madogo, itafuatia misikiti, the by 2014 lifuatia Anglican, Mid 2015 Lutheran, October, 2015 ndipo itakuwa zamu ya lile Kanisa ni Moja Tuu, Takatifu Katoliki La Mitume!.
Japo yeye ni sauti tuu ya mtu aliye nyikani, Mungu Baba ataudhihirisha utukufu wake kupitia kwayo, kwa "jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", na litatimie lile neno "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu nitalijenga taifa langu!".
Kwa wale ambao ni wabishi kuliko Tomaso wakidhani kuna mambo ambayo hayawezekani!, nawahakikishia "nothing is impossible under the sun!" na "lisilowezekana kwa binadamu, kwa Mungu, linawezekana!".
Pasco.
El hamia misikitini sasa kwa kuchangisha fedha kwa ajili ya hospital ya kisasa ya waislam!ili upate kura kila upande
futa hiyo kauli yako hapo kwenye red. mungu wa misikitini hapendi hela za dhulma. na huo msikiti utakaothubutu kama sio muhanga basi bakora zitahusika.
Mmmh! Huyo mungu wa misikiti yukoje aisee?! Lazima atakuwa anatisha mbaya!
kuna tofauti gani kati ya kanisa na dhehebu???
. Kumbe kuna mungu wa misikitini?!, kwa uelewa wangu, nilidhania Mungu ni mmoja tuu ila majina ndio tofauti!. Kwa vile kuna Mungu na mungu, then nakukubalia mungu wa misikitini hapendi hela za dhulma. Kwa Mungu, pesa ni pesa tuu zikifanya jambo jema au jambo la kheri, zinaleta heri na thawabu zinapatikanika!.futa hiyo kauli yako hapo kwenye red. mungu wa misikitini hapendi hela za dhulma. na huo msikiti utakaothubutu kama sio muhanga basi bakora zitahusika.
Anajitolea kwenye mambo yapi ya kijamiii? Kujenga makanisa? Wakristo mumekuwa niwatu wa kukwamisha harakati kila siku. Aiwezekani kwa jitu kama hili (fisadi) kupewa tuzo ya heshima.
Nivizuri kutambua michango ya wadau mbalimbali katika kutatua matatizo ya jamii zetu nakupongeza sana kwa wazo hilo zuri.KANISA la Overcomers lililopo mkoani Iringa, limeandaa tuzo maalumu kwa ajili ya kumtunuku Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, kutokana na mchango wake alioutoa katika jamii.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk. Boaz Sollo, alisema jamii ya wakazi wa Mkoa wa Iringa inatambua mchango wa Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli.
Dk. Sollo alisema kuwa tuzo hiyo itampa moyo wa kuendelea kushiriki zaidi katika shughuli mbalimbali za kijamii sambamba na kuiendeleza injili kama ambavyo amekuwa akifanya.
Hii tuzo itamuongezea ujasiri wa kujituma katika kuisaidia jamii, sambamba na kuchangia ujenzi wa makanisa katika mikoa mbalimbali bila kujali wanaomkatisha tamaa ili kumrudisha nyuma.
Tumeandaa tuzo maalumu kwa ajili ya kiongozi huyu ambaye haipiti wiki moja anasikika akifanya kazi za kijamii, habagui, hachagui na wala hana upendeleo, alisema Dk. Sollo.
Aliongeza kuwa tangu alipojiuzulu uwaziri mkuu, hajawahi kuutembelea mkoa huo jambo linalowafanya wakazi wa mkoa huo kuwa na hamu ya kumuona kutokana na jitihada zake za kujihusisha katika masuala ya kijamii.
Alisema tuzo hiyo itatolewa mwezi ujao wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio ya dini ya Overcomers, ambayo ni maarufu kwa mikoa ya kusini.
Wakizungumza na MTANZANIA kuhusu tuzo hiyo, baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Iringa wamelipongeza kanisa hilo kwa kuandaa tuzo maalumu kwa ajili ya kutambua mchango wa kiongozi huyo.
CHANZO: Mtanzania
Mkuu, utakuwa umemchanganya Mungu na mungu!, huyo unayemzunguzia ni Mungu Baba, ambaye ndie Mungu muumba wa Adam na Eva (Hawa), ndiye Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakabo, ndiye Mungu wa Nuhu, ndiye Mungu aliyeiteketeza Sodoma na Gomora, ndiye Mungu wa Mussa, huyo mungu unaemzungumzia wewe ni mwingine, ila pia nakubaliana na wewe kuwa mungu huyo pia anatisha!, maana mambo yake sio tuu tunayasikia, mengine tunayashuhudia yakihubiriwa na kuona matokea ya mahubiri hayo!.anatisha kweli kweli na hasa pale watu wanapofanya makosa. soma historia za kina kaumu lutu, sodomizers kilichowakuta. uliza kilichomkuta firauni na kajeshi kake juu ya musa, soma watu wa nabii nuhu yaliyowakota. utaelewa kuwa mungu huyo anatisha katika level isiyoelezeka.
Sio kosa langu kwani hiyo ndio heading kwenye gazeti lenyewe.
futa hiyo kauli yako hapo kwenye red. mungu wa misikitini hapendi hela za dhulma. na huo msikiti utakaothubutu kama sio muhanga basi bakora zitahusika.
na maanisha mungu anayeabudiwa misikitini, hapendi hela za dhulma. kumbuka hata hela ya riba hairuhusiwi kutumika misikitini sebuse hizo za akina lowassa walizotuibiwa mcha peupe? tunajua pasco umeshadakishwa chako ndo maana kila siku unachonga humu toward lowassa.. Kumbe kuna mungu wa misikitini?!, kwa uelewa wangu, nilidhania Mungu ni mmoja tuu ila majina ndio tofauti!. Kwa vile kuna Mungu na mungu, then nakukubalia mungu wa misikitini hapendi hela za dhulma. Kwa Mungu, pesa ni pesa tuu zikifanya jambo jema au jambo la kheri, zinaleta heri na thawabu zinapatikanika!.
Pasco.
Mkuu, utakuwa umemchanganya Mungu na mungu!, huyo unayemzunguzia ni Mungu Baba, ambaye ndie Mungu muumba wa Adam na Eva (Hawa), ndiye Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakabo, ndiye Mungu wa Nuhu, ndiye Mungu aliyeiteketeza Sodoma na Gomora, ndiye Mungu wa Mussa, huyo mungu unaemzungumzia wewe ni mwingine, ila pia nakubaliana na wewe kuwa mungu huyo pia anatisha!, maana mambo yake sio tuu tunayasikia, mengine tunayashuhudia yakihubiriwa na kuona matokea ya mahubiri hayo!.
Pasco.
nitajie angalau msikiti mmoja. halafu kwanini yeye tu? hivi huwezi kujiuliza hilo swali? mbona sijasikia akina sitta, mwakyembe na wengineo wakialikwa?wewe si mtu wa kufuatilia matukio Lowassa ameripotiwa kufika misikitini kuchangisha fedha za harambee ingawa ni kwa uchache ikilinganishwa na makanisani. Tukumbuke tu kuwa Lowassa hajialiki bali anapewa mwaliko (hualikwa) hatuna sababu ya kumlaumu anapoitikia wito huo, ni mara nyingi anaalikwa kwenye harambee za makanisani kuliko misikitini
Mkuu Gudi, utakuwa umemchanganya Mungu na mungu!.pasco acha kutwist post yangu. iache kama ilivyo. wewe tunajua umeshadakiswhwa chako na lowassa. na sasa hivi lowasa yuko bise makanisani kugawa hela za dhulma. unataka uniambie Mungu wa akina nabii Ibrahim (AS), Lutu(AS), Issa bun Maryam(AS), yahaya(AS), Isihaka(AS), Yacubu(AS), Mohammad (saw), Ismail(AS), Idris (AS), Adam(AS) na wanaofanania na hao wanapenda hela za dhulma? kama hizo hela za akila lowassa zimekulewesha tafadhali usimshirikishe mungu. na hakika madhalimu watauona moto mkali uunguzao. Just a matter of time.
Mimi naongelea Mungu (Allah aliyetukuka) muumba vyote vilivyopo duniani na mbinguni vikiwemo viumbe VIOVU. pasco najua wewe una miungu. mara roho, mara mwana mara baba. anyway huchelewi kusema nakukashifu. kwaheri.Mkuu Gudi, utakuwa umemchanganya Mungu na mungu!.
P.