kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,205
- 7,358
Maneno hayo (in BeniKiko's voice)
kiburi cha uzima ie Usomi wa theolojiaAsante Mu-TAG orginal
Uzi wako umekuja wakati mwafaka.
Ni kweli kitaasisi kanisa limekua na kuongezeka sana ndani ya miaka zaidi ya 20 ktk historia ya kanisa hili nchini.
Pongezi kwa watumishi wote waliochangia kuieneza kazi ya Bwana Yesu pande zote za nchi hii.
Lakini pia ni ukweli usiopingika kuna mahala tumejikwaa na tunakubali kutazama ni wapi upendo wetu wa kwanza tukipouacha Tujiandae kisaikolojia kupoa zaidi ya tulivyo leo.
Yako mambo mengi tumejikwaa amabayo wachangiaji wengi wamekwisha yataja ila Mm pia ntasema
1. Kuacha msingi na lengo kuu la kanisa na kuamua dini kuwa ni fursa ya maisha.
Hili limezaa usanii mkubwa sana baina ya watumishi.
2. Kumtii kwa maneno roho Mtakatifu na kumpinga kwa matendo
Kifupi unafiki.
Zilonga mbali zitendwa mbali.
Ukiona hilo, Roho wa uzima huwa hakai hapo.
3. Hatua ya ukuaji plateau phase.
Hakuna jipya tena wanaloweza kuupa ulimwengu mbali na kujidai usomi wa theology usio na nguvu ya uthibitisho
4: methodology mbovu ya kutengeneza wafuasi na sio wanafunzi.
Wivu na chuki zinazuia succession plan kuandaa watumishi wapya kisa ni kugeuza makanisa ni mahali pa watu kuendesha maisha ya familia zao na wengine wawe chuma ulete.
Plz C.C to TAG bishop
Tutajie mitume na manabii unaowafahamu wa TAG!Limekuwa kiwanda cha kufyatua mitume na manabii fake
Ki msingi hiyo sifa ya elimu ndiyo hasa iliyopooza imani.Mchungaji kuwa na PhD hakufanyi kanisa kuwa na nguvu za Mungu.Ni mpango tu wa kawaida mchungaji akasome kwa kuwa anaongoza wasomi piaSikuzote ivumayo haidumu, shida hapo ni Elim, hii nikuazia wachungaji mpaka waumini.. Kwanini
Kukosa misingi mizuri ya kuweka mipango imara yenye kudum ndani ya kanisa. Najua wengi mtanipinga lkn ukweli utabaki palepale..
Labda nani anaejua mchungaji wa Tag ana degree?
Nimeshuhudia darasa la saba mtu akikabidhiwa kanisa na mojakwamoja kuitwa mchungaji.
Kuongoza jamii pia kunahitaji Elim sio kitu rahisi sana.
Pengine tujifunze kitu.. Kutoka makanisa ya Romani catholic, pendecoste, kkkt,Sabato.. Hawa wengi wao viongozi wana uwezo kielim.. Ni degree, phd nk.misingi yao hudum.
Na hawayumbi nawala hawana papara.
Limejitenga mno na wenzake.Hii ni mpaka kuoa.Huoi pale kama si mshirika wake hata kama unanena kwa lugha.Wanaona wapentekoste wenzao si kitu na hawana imaniTAG imekwisha, Baada ya kuimarika kwa EAGT. Hata hivyo kanisa kutoshirikiana na muungano wa makanisa ya kipentekoste (PCT) imelifanya hili kanisa kutoeleweka na jamii.
Hukumu ya Mungu itaanzia nyumbani mwakeKWELI KANISA HILI LIMEPOA SAAANA SABABU 1. WACHUNGAJI WAMEKUWA NA TAMAA YA KUPENDA PESA KULIKO MAELEZO, WACHUNGAJI WA KANISA LA T.A.G WANASHINDANA KWA MAISHA YA ANASA NA KUWALAZIMISHA WAUMINI WAO WAWACHANGIE PESA WANUNUE MAGARI MAZURI. MFANO KUNA KANISA LIKO MOSHI- SOWETO NI LA T.A.G LIMELAZIMISHA KILA MUUMMINI ATOE LAKI MOJA NA ZAIDI ILI KUMNUNULIA MCHUNGAJI GARI BILA KUJALI UWEZO WA KIUCHUMI WA WAUMINI WAO 2. UBAGUZI NDANI YA KANISA UMEKUWA MKUBWA SANA, WENYE PESA WANAPEWA KIPAUMBELE MASKINI HAWATHAMINIWI 3. UKABILA 4. VYEO VYA UPENDELEO NDANI YA KANISA 5. RUSHWA KATIKA CHAGUZI ZA MAASKOFU, MFANO UCHAGUZI UKIKARIBIA HUWA MAASKOFU WANATOA PIKIPIKI NA MAGARI KWA WACHUNGAJI NA WAANGALIZI, UCHAGUZI UKIISHA TU HAWAGAWI TENA. 6. KUKOSA KANISA KUBWA HALINA TV WALA REDIO ILA VIJANA WADOGO TU KINA MWAMPOSA/BULDOZA WANA REDIO NA TV. 7. KUTOTOA HUDUMA ZA KIJAMII, KANISA LINA MATAWI NCHI NZIMA ILA HALINA HATA HOSPITALI..WANA SHULE MBILI ZA SEKONDARI NAZO ZINZ MIUNDMBINU MIBOVU KULILKO HATA SHULE ZA KATA.8. KUKOSA UPENDO MIONGONI MWA WACHUNGAJI WAO KWA WAO, WACHUNGAJI WA MAKANISA YA MIJINI WANAISHI MAISHA YA HALI YA JUU SANA ILA WENZAO WA VIJIJINI WANA HALI MBAYA SANA NA WALA HAWASAIDIANI 9.TABIA YA KURITHISHANA MAKANISA KIUKOO NA KINDUGU MFANO BABA AKIZEEKA ANAMUACHIA MDOGO WAKE AU MTOTO WAKE HILI NALO NI TATIZO KUBWA MFANO CALVARY TEMPLE ARUSHA(T.A.G)
Rekebisha kauli yako. TAG sio kanisa la mpito. Na halitakaa likafutika.
ni kweliKWELI KANISA HILI LIMEPOA SAAANA SABABU 1. WACHUNGAJI WAMEKUWA NA TAMAA YA KUPENDA PESA KULIKO MAELEZO, WACHUNGAJI WA KANISA LA T.A.G WANASHINDANA KWA MAISHA YA ANASA NA KUWALAZIMISHA WAUMINI WAO WAWACHANGIE PESA WANUNUE MAGARI MAZURI. MFANO KUNA KANISA LIKO MOSHI- SOWETO NI LA T.A.G LIMELAZIMISHA KILA MUUMMINI ATOE LAKI MOJA NA ZAIDI ILI KUMNUNULIA MCHUNGAJI GARI BILA KUJALI UWEZO WA KIUCHUMI WA WAUMINI WAO 2. UBAGUZI NDANI YA KANISA UMEKUWA MKUBWA SANA, WENYE PESA WANAPEWA KIPAUMBELE MASKINI HAWATHAMINIWI 3. UKABILA 4. VYEO VYA UPENDELEO NDANI YA KANISA 5. RUSHWA KATIKA CHAGUZI ZA MAASKOFU, MFANO UCHAGUZI UKIKARIBIA HUWA MAASKOFU WANATOA PIKIPIKI NA MAGARI KWA WACHUNGAJI NA WAANGALIZI, UCHAGUZI UKIISHA TU HAWAGAWI TENA. 6. KUKOSA KANISA KUBWA HALINA TV WALA REDIO ILA VIJANA WADOGO TU KINA MWAMPOSA/BULDOZA WANA REDIO NA TV. 7. KUTOTOA HUDUMA ZA KIJAMII, KANISA LINA MATAWI NCHI NZIMA ILA HALINA HATA HOSPITALI..WANA SHULE MBILI ZA SEKONDARI NAZO ZINZ MIUNDMBINU MIBOVU KULILKO HATA SHULE ZA KATA.8. KUKOSA UPENDO MIONGONI MWA WACHUNGAJI WAO KWA WAO, WACHUNGAJI WA MAKANISA YA MIJINI WANAISHI MAISHA YA HALI YA JUU SANA ILA WENZAO WA VIJIJINI WANA HALI MBAYA SANA NA WALA HAWASAIDIANI 9.TABIA YA KURITHISHANA MAKANISA KIUKOO NA KINDUGU MFANO BABA AKIZEEKA ANAMUACHIA MDOGO WAKE AU MTOTO WAKE HILI NALO NI TATIZO KUBWA MFANO CALVARY TEMPLE ARUSHA(T.A.G)
ni kweli.AG zikatoka TAG na EAGTHalafu nilisikia iliwahi kutokea vita kali kati ya TAG na EAGT mpaka watu wakajeruhiwa. Nasikia ilikua vitu kuu ya madhehebu kwa TZ.... Ni kweli? Ni kwa nini?
pia kule UMPT nako kulitokea mafarakano ndiyo wakatokea hao kina FPCT na ndugu zakeHalafu nilisikia iliwahi kutokea vita kali kati ya TAG na EAGT mpaka watu wakajeruhiwa. Nasikia ilikua vitu kuu ya madhehebu kwa TZ.... Ni kweli? Ni kwa nini?
TAG ni jina la usajili mkuu.Siyo kanisa.Hiyo ni Taasisi ya Dini/NGO's.Tafsiri ya Kanisa ni watu waaminio Yesu Kristo na hawa wote wapo dunia Nzima Siyo Tanzania tu.TAG ipo TanzaniaRekebisha kauli yako. TAG sio kanisa la mpito. Na halitakaa likafutika.
Point of correction (in green): Katunzi yuko EAGT siyo TAG! Mengine uliyoandika kwa kiwango kikubwa kuna ukweli fulani.Kwa ufahamu wangu haya makanisa ya TAG nguvu ilianza kupungua tangu kipindi kile cha KULOLA kuanzisha EAGT. Lakini wakajitahidi sana kukaa ktk mstari wa unyoofu hapa na maanisha kuhubiri na kuishi sawa sawa na NENO la Mungu yaani utakatifu. Kilichikuja kuharibu ni usasa hasa baada ya kuanza ile mikutano ya jagwani na kwingineko kwa kushirikiana na foreign ministries hasa za USA. Wale walipoingia wakaleta usasa taratibu wanawake wakaanza kuvaa suruali na kujiremba kanisani na kila aina ya mapambo. Hapa wakapunguza nguvh ya Mungu. Shetani akaanza kuingia taratibu ktk hayo makanisa uzinzi ktk kwaya ukawa kawaida...wachungaji kufumaniwa ikawa kawaida. Wakaibuka waimbaji binafsi ndani ya makanisa ikazidisha mgongano was kimaslai among singers. Mara wachungaji binafsi wakapata kibali kujenga makanisa yako lna kuyaendesha ilimradi tuu yako affiliated na TAG ie
mlima wa moto .
Tatizo likawa kubwa zaidi watu wakaanza kutafuta maslai na si injili tena. Ule umoto wao wa injili miaka ya 2000 kurudi nyuma umepotea kwa kazi lkubwa sana. Na sasa kuibuka kwa makanisa mengi ya kibinafsi yanayohubiri miujuza ujiza ya kitapeli mara maji chumvi mafuta ya upako sijui utapata gari nyumba mke mume utaenda ulaya yamekuwa changamoto kweli kwa TAG. TAG washajua ni wapi wamekosea ila wanaogopa gharama za kurudi ktk mstari wao kuhubiri utakatifu kwa wachungaji wavaa suruali wanawake au wanaume waziznzi ni gharama kubwa. Kuanza kuwaambia watu waache mapambo na vimini ibadani ni gharama kubwa sana kwao koz watakosa sadaka zao na kwenda kwingine. Hapa ndo ilitakiwa wampate anaza KULOLA kuwanyoisha siyo hiyo mijitu ina phd ya theolojia haina chchote. However wapo wachungaji ndan TAG kam KATUNZI anajua anafanya nini
DuSasahivi maombi hayaruhusiwi kama zamani labda yawe ya kumuombea M/kiti wa CCM tu.
AbsolutelyBado TAG wapo vizuri mkuu,nadhani wabongo unawajua kwa kushobokea vipya na mda mfupi wanasahau......
Miaka ya nyuma hakukuwa na mabii/mitume wengi kama Leo,hawa jamaa wameiga vitu vingi kutoka Pentecostal churches,ingawa kuna vingine wamechakachua,
Nachowapendea TAG wanasimamia neno(bible)
Utandawazi na emerging ya kizazi cha vijana wa kisasa kanisani kunapunguza ule uamsho kama wa zamani.
Utajiri wa Wachungaji,now days Wachungaji wamekua matajili sana wa pesa,hiyo ile halo ya kutosheka imewakamata baadhi ya viongozi hata ile kasi ya kumtafuta Mungu imeshuka
N:B bado TAG ni moja ya dhehebu bora kwa makanisa ya kipetecost,
Ukiwa ndani unaona mengiPoint of correction (in green): Katunzi yuko EAGT siyo TAG! Mengine uliyoandika kwa kiwango kikubwa kuna ukweli fulani.
In red: Wachungaji wanaoanzisha makanisa kwa jina la TAG imepelekea makanisa hayo kuwa mali ya familia. Mwongozo au katiba ya TAG haifuatwi katika makanisa hayo. Idara ndani ya kanisa licha ya kuwa na uongozi, viongozi wa idara hawana mandate ya kuamua chochote pasipo mchungaji au mke wake kuridhia hata kama uamuzi wao uko ndani ya mipaka ya miongozo iliyoainishwa na TAG. Baraza la wazee limewekwa kama rubber stamp kupitisha mawazo ya mchungaji. Wazee wa kanisa ambao ni "ndiyo baba/mama mchungaji" yaani wasiopinga chochote hukumbatiwa sana. Mke wa mchungaji ambaye kimsingi siyo mmoja wa baraza la wazee huwa kiongozi wa baraza iwapo mume wake hayupo. Mke wa mchungaji huvuruga sana kanisa hasa kutokana na "sense of insecurity". Mama mchungaji huingilia kila kitu ili aonekane na kutambuliwa. Hiyo ni kwa sababu organization chart ya TAG kiuongozi haioneshi nafasi ya mke wa mchungaji, kwa hiyo lazima ajitutumue kuonesha kwamba yupo na ana nguvu.
Pia siku hizi hukumbatia idadi ya waumini (quantity) pasipo kusimamia maadili ya kiroho (spiritual quality)!
Tanzania kwa Yesu,miaka 10 ya mavuno.2005-2015....Miaka 10 ya mavuno. Tanzania kwa Yesu![]()

Ni kweli kabisa ndugu!Ukiwa ndani unaona mengi
Ukiwaonyesha kuwa dude hili linatoka ndani ya mstari..... Utapewa majina yote ya mfitini
Dini ngumu sana ukiwa na upeo wa kufikiri