Kanisa la mkandamizaji

Kanisa la mkandamizaji

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,226
Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
 
Mkuu mi nakushauri na wewe utafute njia yako ya kupiga pesa za wajinga wajinga, ambao kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 bado ni wengi mno nchi hii na wanazidi kuongezeka.
 
Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Mkandamizaji ni mjasiriadini, sio mtumishi ni tapeli na muhuni
 
Masanja mkandamizaji anawapiga kekundu raia kwenye ule mjengo wake anaouita feel free church tunaomba mama samia uingilie kati kati maana anawatapeli raia Na kuwaaribu kiimani waumini masanja ni virus 🦠
 
wacha wapigwe kekundu mkuu. hawajalazimishwa
 
Saiv kanisa lake linatrend san, kila nkiingia mtandaon nakutana na yeye
 
Mkuu Mungu hazihakiwi mtu yeyote atakaye fanya huduma yake ikiwa ni magumashi basi haitodumu na pia yeyote atakayefanya huduma ya Bwana kama Bwana alivyomwita basi huduma ya mtu huyo itadumu na itakuwa na kuongeza sikuzote
 
Chuki zako binafsi zinakusumbua wewe
Mbona kijana wawatu hana tatizo ile nyimbo yake ya kemea pepo utakua mhusika mkuu sio bure.
Sio chuki binafsi masanja ni SNITCH

Mchungaji gani ambaye anathubutu kupanda kwenye majukwaa ya kisiasi na kudhihaki afya ya mtu mwingine kwa kuigiza kajinyea?

Kipindi mitandao imefungwa Masanja alishawahi kusema kwamba kuna watu wanasambaza uongo kwamba serikali imepiga ban twitter eti mpaka vpn wakati mimi natumia bila vpn
 
Mchungaji gani yule kipindi cha kampeni anafunga kanisa anaen ppl
 
Sijaona ubaya wowote kwa kijana huyu.Ninchoweza kushuri wewe uendelee na hilo lako hayamengine waachie wahusika wanajua wanachofanya na wanafanya kwaajili ya nani
 
Back
Top Bottom