Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa.
Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo kinondoni biafra, anadai yeye anafanya kazi hapo chuoni na wakati huo anadai yeye ni usalama wa taifa. Sasa alimrubuni mke wa rafiki yangu kwamba anaweza muuzia nguruwe na akampa banda bure basi mwanamke akamwambia mume wake lakini akakataa,jamaa akawa anapiga simu hadi usiku mwanamke akaona hisiwe tabu akakopa faster kama 1m akamkabidhi jamaa akaanza mzungusha na kuanza masharti kwamba hawa nguruwe wanaweza wakafa wote so hii biashara pia ina hasara, shemeji akashtuka mbona ulisema hakutakuwa na vifo ndiyo akamwambia rudisha pesa yangu tu wakakubaliana lakini akakubali kwamba atalipa kidogokidogo, hadi juzi nakutana na jamaa anasema jamaa alitoa laki mbili tu tena kwa minded maana hadi kwa wachungaji na mzee wa kanisa aliahidi uongo na kila wachungaji na mzee wa kanisa wakiulizwa wanarushiana mpira, walitaka kumpeleka polish kanisa likakataza na kusema tutamuweza atalipa tu.
Huyo ndyo Thomas mlokole wa pale KRC. Mtumishi wa open University kinondoni na usalama wa taifa.