daaa mungu ashukuriwe kama hii habari imefika hapa, hii habari naifahamu vizuri kwani mimi ni mzaliwa wa pale rauya jirani kabisa na shule pamoja na huyu mjane hua anaitwa mama john. Huyu mama ameliaga sana jamani, ni kweli kanusa na shule vimemtesa haswa. Siongei hivi kulichafua kanisa sababu hapa rauya wanakijiji asilimia 99 ni wakatoliki nikiwemo na mimi hata na huyo mjane, hapa tunasimamia ukweli kanisa limezidi uonevu hadi kwa waumini wake halijal, huyu mama ana lease halali na tulishamshauri aende kanisan kwa baba askofu lkn pia hawakumsaidia, kanisa katoliki tunakwenda wapi? Yule mzungu alikuepo hapa kabla hata shule haijajengwa na alikua na hospitali yake binafsi hapa na lile jengo la hosp bado lipo pale na pia alikua na nyumba aliyoishi na mkewe na hadi sasa yule mjane anaishi kwenye nyumba hiyo. Shule ya marangu mwanzoni haikua ikimilikiwa na kanisa ila baadae kanisa lilikabidhiwa shule ile na baada ya kanisa kuingia pale ndo matatizo yalianza wakawa wanalitaka lile eneo wampe pesa mama john awauzie, mama john hakuafiki hilo sababu alisema hiyo ni kumbukumbu ya mumewe na urithi wa mtoto wao john. Vitimbi vikaanza kwa nguvu shule iliingia pale karibu kabisa na nyumba wanayoishi likajenga kisima ambacho hadi leo kipo na waligombana sana na yule mjane mpaka mjane aliwekwa polisi himo, huwa wanakijiji tunahis kanisa na shule havikujua kua mama ana lease, baadae kanisa lilidai kua marehemu aliacha usia kua shamba ligawanywe nusu kwa nusu na mjakaz wao na marehem sababu ambayo haina mashiko kabisa cz haiwezekan mjakaz apewe sawa na familia, na wakadai mjakaz aliwauzia sehemu yake iliyopakan na shule, wanakijiji wenye upeo tunajiuliza je kwakua shule na kanisa ni wasomi kwanini walinunua shamba bila nyaraka? Inawezekanaje shamba ambalo lina lease liuzwe nusu yake, na baada ya kugundua kua lease ya yule mama ni valid tena ya miaka 99 walijaribu kumpa tena pesa je kama walikua na haki walikua wanampa pesa ya nini mjne, kwa nini kanisa linafanya nambo kienyeji? Hapa kanisa halichafuliwi bali tunajiuliza barua zote za kuhusiana na sakata hili zinasainiwaga na askofu mkuu wa moshi which means kanisa lipo busy kuchkua kipande hichi cha ardhi, nakiita kipande maana hili kanisa ni kubwa na linajitia aibu lenyewe na sisi waumin wake kwa jambo hili linalofanya. Mwalimu mkuu wa zamani ndg kisamo alimsumbuaga sana huyu mama kila mara polisi na vituko vingi lkn ilishindikana sababu ya hati ya shamba akamuacha, sasa huvu kuna mwalimu mkuh mpya ambaye ndo amelianzisha sakata upya, kwa mabavu aliingia na kuanza kujenga ukuta ktk hiyo sehemu ya nusu ya shamba, je huyu mwalimu ambaye ni mpya lazma atakua anapata maelekezo kutoka kwa mwajiri wake ambaye ni kanisa, na kama kanisa linadai kuuziwa huo upande ni kwa nini lilienda kujenga kisima kule karbu na nyunba ya mama john kama si uonevu? Mwl mkuu anamtishia mama jihn kua watamwamisha pale kabisa anapata wapi hii nguvu?? Kanisa acheni uonevu yule mama ana haki kabisa na wanakijiji wengi wanalitambua hilo
Kesho nitakuja na ushahidi mzima, nimelihusisha kanisa lote maana haya malalamiko kanisa katoliki Tanzania bara wanayo,hii kesi aridhi kilimanjaro na polisi wanaizungushwa sana danadana nyingi hiyo ni dalili tosha ya mazingira ya rushwa
Daaa Mungu ashukuriwe kama hii habari imefika hapa, hii habari naifahamu vizuri kwani mimi ni mzaliwa wa pale rauya jirani kabisa na shule pamoja na huyu mjane hua anaitwa mama John. Huyu mama ameliaga sana jamani, ni kweli kanusa na shule vimemtesa haswa. Siongei hivi kulichafua kanisa sababu hapa rauya wanakijiji asilimia 99 ni wakatoliki nikiwemo na mimi hata na huyo mjane, hapa tunasimamia ukweli kanisa limezidi uonevu hadi kwa waumini wake halijal, huyu mama ana lease halali na tulishamshauri aende kanisan kwa baba askofu lkn pia hawakumsaidia, kanisa katoliki tunakwenda wapi? Yule mzungu alikuepo hapa kabla hata shule haijajengwa na alikua na hospitali yake binafsi hapa na lile jengo la hosp bado lipo pale na pia alikua na nyumba aliyoishi na mkewe na hadi sasa yule mjane anaishi kwenye nyumba hiyo. Shule ya marangu mwanzoni haikua ikimilikiwa na kanisa ila baadae kanisa lilikabidhiwa shule ile na baada ya kanisa kuingia pale ndo matatizo yalianza wakawa wanalitaka lile eneo wampe pesa mama john awauzie, mama john hakuafiki hilo sababu alisema hiyo ni kumbukumbu ya mumewe na urithi wa mtoto wao john. Vitimbi vikaanza kwa nguvu shule iliingia pale karibu kabisa na nyumba wanayoishi likajenga kisima ambacho hadi leo kipo na waligombana sana na yule mjane mpaka mjane aliwekwa polisi himo, huwa wanakijiji tunahis kanisa na shule havikujua kua mama ana lease, baadae kanisa lilidai kua marehemu aliacha usia kua shamba ligawanywe nusu kwa nusu na mjakaz wao na marehem sababu ambayo haina mashiko kabisa cz haiwezekan mjakaz apewe sawa na familia, na wakadai mjakaz aliwauzia sehemu yake iliyopakan na shule, wanakijiji wenye upeo tunajiuliza je kwakua shule na kanisa ni wasomi kwanini walinunua shamba bila nyaraka? Inawezekanaje shamba ambalo lina lease liuzwe nusu yake, na baada ya kugundua kua lease ya yule mama ni valid tena ya miaka 99 walijaribu kumpa tena pesa je kama walikua na haki walikua wanampa pesa ya nini mjne, kwa nini kanisa linafanya nambo kienyeji? Hapa kanisa halichafuliwi bali tunajiuliza barua zote za kuhusiana na sakata hili zinasainiwaga na askofu mkuu wa moshi which means kanisa lipo busy kuchkua kipande hichi cha ardhi, nakiita kipande maana hili kanisa ni kubwa na linajitia aibu lenyewe na sisi waumin wake kwa jambo hili linalofanya. Mwalimu mkuu wa zamani ndg kisamo alimsumbuaga sana huyu mama kila mara polisi na vituko vingi lkn ilishindikana sababu ya hati ya shamba akamuacha, sasa huvu kuna mwalimu mkuh mpya ambaye ndo amelianzisha sakata upya, kwa mabavu aliingia na kuanza kujenga ukuta ktk hiyo sehemu ya nusu ya shamba, je huyu mwalimu ambaye ni mpya lazma atakua anapata maelekezo kutoka kwa mwajiri wake ambaye ni kanisa, na kama kanisa linadai kuuziwa huo upande ni kwa nini lilienda kujenga kisima kule karbu na nyunba ya mama john kama si uonevu? Mwl mkuu anamtishia mama jihn kua watamwamisha pale kabisa anapata wapi hii nguvu?? Kanisa acheni uonevu yule mama ana haki kabisa na wanakijiji wengi wanalitambua hilo
Naona ungeeleweka zaidi kama ungetuambia huyo mjane na Huyo dokta walinunua ilo eneo au walikua wakiishi baada ya kupewa!!?na je nani aliwapa??je huoni kama dokta RAIA Wa Italy alipewa hifadhi tu na kanisa ili aweze kuhudumia wanamarangu???yaan unaleta bandiko LA kichonganishi hivi hapa..ivi mzima wewe???kama kipedo kimekubana vua na uvae Della pambavu kbisa.
Hivi sasa kanisa linatumia nguvu kubwa ya fedha {sadaka} na hila ili wataifishe shamba hili ambalo lina liz na uhalali wote uliochwa na marehemu kwa familia yake,kanisa linafanya haya kupitia mawakala wake wakuu askofu mkuu Moshi pamoja na mwalimu mkuu Marangu sekondari ambaye kila kikicha anamtishia mama huyu maisha.
Mkuu hii story ya kina Balleto naijua...huyu mama alikuaga mtawa na huyu mzungu alikua anafanya kazi kwenye hiyo hospital ya kanisa.....huyu mama kipindi hicho alikua hapo kwenye hospitali ya kanisa kama nesi na mtawa...lakini aliasi utawa akatembea na huyo mzungu akapata ujauzito akazaa mtoto. anayeitwa John Barreto..jamaa mmoja alikuaga machachari sana kipindi cha nyumba kwa kutembea na mabinti wa Arusha. Ukienda Arusha huyu jamaa anajulikana sana. Kwa kifupi hilo shamba na hospitali ilikua mali ya kanisa na huyo mama alikuaga hapo kama mtawa muhudumu akaja akaasi akatembea na huyo mzungu.
Ushabiki wa kidini unawapeleka vibaya sana humu. Yaani mnaambiwa huyo mama ana lease halali ya serikali juu ya umiliki wa eneo hilo bado mnasema eti aliapewa na kanisa akae kwa muda tu? Kanisa lilikuwa wapi wakati huyo mama na huyo mumewe mtaliano wakati wanapewa hiyo hati ya umiliki wa ardhi hiyo?
hebu tuwekane sawa kwanza wanajamvi na kama kuna mwanasheria atuweke sawa juu ya tofauti iliyopo kati ya lease na title deed???
Maaana mi kwa uwelewa wangu natambua ya kuwa hivyo vitu viwili ni tofauti(kwa maana ya kwamba vina makusudi tofauti),tena hasa kwa case husika baina ya mama mjane na kanisa.
Hivyo naomba wanasheria jitokezeni mtusahihishe hapa,na kuepusha watu kujichumia dhambi za burebure pasipo kujua.
Kesho nitakuja na ushahidi mzima, nimelihusisha kanisa lote maana haya malalamiko kanisa katoliki Tanzania bara wanayo,hii kesi aridhi kilimanjaro na polisi wanaizungushwa sana danadana nyingi hiyo ni dalili tosha ya mazingira ya rushwa
'sawa, umesema "ana lease" halali, lakini je unajua maana ya LEASE na je unaijua kazi yake?.