Kama ile ndonga aliyopiga Dr. Slaa siyo ya kitoto ile imekwenda shule labda kama CDF wetu ni maamuma.Tuko kwenye Novena na matokeo chanya yanaonekana
kwani kanisa ni chama cha siasa gentleman?Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake!
Toeni tamko tuache uoga na unafiki

Dr slaaa kafanyajeKama ile ndonga aliyopiga Dr. Slaa siyo ya kitoto ile imekwenda shule labda kama CDF wetu ni maamuma.
Toa weweTumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake!
Toeni tamko tuache uoga na unafiki