Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
SmartSelectImage_2017-07-03-05-21-06.png

Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.

Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.

Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.

Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
 
Ratiba ya ulimwengu, kwa wanaofuatilia dunia kwa jicho la unabii wa miaka zaidi ya 3000 iliyopita wanazidi kuimarika na kuona sababu za kumtafuta Mungu kwa dhati kabisa leo kuliko siku nyingine yoyote.

bado muda kidogo tu, dunia nzima itastaajabu.
 
View attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.

Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.

Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.

Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
askofu uchwara, hajui anachosimamamia
 
Hivi Catholic nalo huwa ni kanisa kumbe? La imani gani? Naomba msaada.

View attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.

Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.

Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.

Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
 
Tulikubali kupokea kila kitu toka kwa mtu mweupe, kuanzia dini zao, tamaduni zao, demokrasia, jinsi ya kuongoza/kuendesha nchi zetu n.k. Ngoja tuone hapa kwenye upunga.

Hii ndio shida ya kuishi kwa kukopi ya wengine. Wakristo tunaaibika tu kwa vile wenzetu huko wamesharuhusu kuoaba jinsia moja, wanatuaibisha sana, lakini tulikubali wenyewe kukopi maisha yao.
 
Back
Top Bottom