Kanisa Katoliki na tuhuma za UFISADI

Kanisa Katoliki na tuhuma za UFISADI

KANISA KATOLIKI. Ni Kanisa kubwa kuliko yote duniani, waumini wasiopunguwa 1.29 bilioni,

Diyosisi 2,851 na Parishi 221,700. Lilianzishwa karne 1.
Hapa kwetu TZ, lilihusika na tuhuma za fedha za Escow kupitia benki yake ya Ukombozi, na tuhuma maaskofu kadhaa kupokea hela za wizi kupitia kwa J Rugemalira..

Nahisi Kanisa letu linatuhumiwa tu, labda sababu ya wivu, labda sababu linasaidia waumini bila kuangalia maovu yao, kwani kupokea pesa toka kwa waumini kuna ubaya gani?! Sio kanisa katoliki lililomtuma muumini aende akaibe au kufanya ufisadi ili alete baadhi ya pesa kanisani.

Je tuhuma hizi zile ukweli wowote au wivu tu?!
Na Kanisa Katoliki ni Kanisa linaloongoza kwenye tuhuma ka hizi duniani? Ebu tuangalie tuhuma mbali mbali duniani..
cheki Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Back
Top Bottom