Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

wewe mtoa sadaka ndiye itakubidi ukaze mkanda uvute soksi na kujikaza kisabuni.
 

Huyu ni Wa dini yao
 
Vijana wa siku hizi mna matatzo sana....Hivi hao so called viongozi wa DINI uchwara wa kizazi hiki wakitoa tamko ndio ukali wa MAISHA magumu ndio utalegea???????
Au wakitoa tamko ndio CHADEMA wachukua NCHI 2020?????....
Au hicho kipindi cha JK walipokuwa wanatoa matamko UCHWARA yenye mlengo wa kisiasa ndio tulikula ASALI NCHI NZIMA?????
EBU ACHENI BANGI ZENU
 
Unasema Yesu alianzisha kanisa katoliki siyo? Unaushahidi unisaidie
Mkuu usiwe mvivu wa kusoma. Look up yourself. Yaani umesoma biblia miaka yote hujawahi kujua kanisa lilianza lini? Of course when we say "Kanisa" we mean Katoliki. Au hujui ndilo pekee lililokuwepo kwa zaidi ya miaka 1600 kabla ya yao mengine???
 
Mwandishi upeo wako una walakini.Kanisa hili limepoteza hadhi yake ya kulinda amani baada ya baadhi ya maaskofu wake kuchotewa fedha na Rugemalila Huwezi kusimamia amani wakati huohuo unapokea rushwa.
You are totally confusing or confused. Yaani maasikofu wakichotewa fedha Kanisa linapoteza hadhi??? hayo siyo mafundisho yetu Wakatoliki.
 
 
Mkuu usiwe mvivu wa kusoma. Look up yourself. Yaani umesoma biblia miaka yote hujawahi kujua kanisa lilianza lini? Of course when we say "Kanisa" we mean Katoliki. Au hujui ndilo pekee lililokuwepo kwa zaidi ya miaka 1600 kabla ya yao mengine???
Soma Lateral ACCORD YA 1929 utaelewa kwanini sio shida kusupport aina hii ya UONGOZI
 
Uzi wako umebeba ujumbe mzito na muhimu kwa Taifa hivi sasa,lakini umekosea kusema dhehebu moja tu. Ingekuwa vema zaidi ujumbe huu ungeuelekeza kwa viongozi wa dini zote hii ingekaa poa sana.
 
Uzi wako umebeba ujumbe mzito na muhimu kwa Taifa hivi sasa,lakini umekosea kusema dhehebu moja tu. Ingekuwa vema zaidi ujumbe huu ungeuelekeza kwa viongozi wa dini zote hii ingekaa poa sana.
Yamkini Bwana Gwajima hahusiki hapa mkuu.Kapambana sana hivi yuko wapi Gwajima
 
Ngoja amani ipotee ndio utajua kama kwa sasa ipo au haipo.
 
Soma Lateral ACCORD YA 1929 utaelewa kwanini sio shida kusupport aina hii ya UONGOZI
Ha ha ha, yaani wewe unataka "nielewe" kile unachojua na kuelewa wewe. I don't share your sentiments against Catholic church. Sorry.
 
Hahaha jipe moyo.
 
Unasema Yesu alianzisha kanisa katoliki siyo? Unaushahidi unisaidie
Ushahidi wa nini..? Wa Kihistoria..

Ok! Ni hivi Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Petro....
Yesu alimuachia Petro Kanisa..."Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu"

Kutoka Petro mpaka Francis ni Mapapa 266..

Au nikuletee Chronological Order ya Mapapa tokea Petro..?
 
Tunakoelekea kama taifa sio kuzuri, hili suala la dini linazidi kukuwa. Mungu epushi mbali Tanzania yangu.
 
Ha ha ha, yaani wewe unataka "nielewe" kile unachojua na kuelewa wewe. I don't share your sentiments against Catholic church. Sorry.
Sentiment au FACTS tupu hzo!uwe unasomaga somaga japo kiduchu
 
Kama kila siku anapiga magoti kubusu pete ya kadinali pengo unategemea kanisa litathubutu kumsema mwana wao mpendwa?

Tulia ni zam yao na wa kwao huyo.

Angekuwa ustadh yupo hapo magogon mbona kelele zake ungechoka?
Hahahahaha! Mkuu umenifanya nicheke hatariii
 
Sentiment au FACTS tupu hzo!uwe unasomaga somaga japo kiduchu
Hizo ni "FACT" kwako. You can believe what you believe. Dunia hii ina maarifa mengi tu. Sometimes what you call "FACT" is just rubbish or fallacies to some of us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…