Ilikuaje wakateka viongozi wa kanisaHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Sasa siasa Kali wamekataa mbwa asiingie msikitini,Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kama wewe sio mnafiki utakumbuka...sio Magufuli Hayati alilikasirikia kanisa mpaka akamsemq askofu wake sio raia?Kanisa limejiingizakwenye siasa weeeee sasa limeshtuka ikiwa late
Kama ilivyokua Kwa magu na mkapa… Akija mkristu litapoa tena
Anzisheni kabisa lenu mlipangieHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Sijasoma ila wacha nicheke😄😄😄Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Ataongea huko misikitini kwao.Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Wamekasirika Padri Kitima kushambuliwa halafu hakuna cha uchunguzi wala taarifa ya tukio hilo kutoka kwa viongozi wa Serikali.Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Wameshaanza kuchanganyikiwa sasa , NO REFORMS NO ELECTIONKanisa katoliki halihitaji reforms ili politicians wapate nafasi, roma haijawahi kufanya huo ujinga
Mfano wako hauna uhusiano na Maaskofu wa TEC. Kwa hiyo siwezi kujibu irrelevant question.Maaskofu na mapadri waliohusika na Rwanda genocide walikuwa darasa la 7?
Huwezi shindana na kanisa katoliki,Roma lucuta causa finita.hiyo imekwisha hata mtanue midomo na huyo mama yenu, ambaye Yuko nyuma ya watekaji wote hamtafanikiwa siku zinahesabika wote tupo hapa tuweke akiba ya maneno,kumbuka Tanzania kuna watu wa aina mbili,wa kwanza wenye AKILI na wa pili wale wasio na akili ambao hata uwezo wa kujua hatari ktk Taifa hawana kwa sababu ni wadudu hivyo sio wanadamu ni chawa tu.Catholic will never bow down to anyone!
Kanisa ni moja, takatifu, Katoliki la Mitume! Kanisa limesema, hakuna yeyote wa kupanua midomo
Achana na hayo Mambo, kanisa linadumu kwa ajili UKALE (MAPOKEO)Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kazi ipo kama akili za watz ndo hiziHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Huyo mama alifungie Kanisa katoliki kama ana ubavu huo
Bora tupate mkristu ajaye asiwe RC
ITALETA AMANI
Huna unalojua ndugu TateMfano wako hauna uhusiano na Maaskofu wa TEC. Kwa hiyo siwezi kujibu irrelevant question.
The time is nowKwani nani anayekataza mkristu wa dhehebu lingine asiwe Rais?
Tunahangaika sana na mambo ambayo yametuzidi uwezo.
Hatuishi milele. Mwakani, mengi tunayoyaona ya maana leo, pengine yatakuwa tofauti.
Tanzania ni zaidi ya tunavyoiona. Tuache kujidanganya
TEC nawaamini sana. Najua kuna milio mikubwa zaidi inakuja.Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.