WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,231
- 7,802
Hili ni Taifa la Mwenyezi Mungu lililoasisiwa na Mkatoliki.Basi waendelee nayo tu
Maana kila rais akija muislamu kabisa linakua too vividly irritated
Waunde taifa lao basi
Nazungumzia haya nikiwa mkristu kamili
CrapHili ni Taifa la Mwenyezi Mungu lililoasisiwa na Mkatoliki.
Kanisa Moja,Takatifu na la Mitume.Hapo hakuna kanisa, ni kundi la matapeli tu ili waishi vizuri hp duniani. Wakatoliki ht huyo Mungu wa kweli hawamjui. Ni wabaguzi, wenye chuki na makundi mengine ya jamii, askofu anajiona yuko juu ya Rais km huyo mkibosho wa hapo Dsm. Wana arrogance, egoism. Sahv kwa kuwa Rais ni muislam ndiyo maana wametoa huo uchafu wao. Mabwege tu hayo Samia mwenye ameshawagundua na amewapuuza, Rais wetu hahitaji kwenda kwenye hayo magenge yao wanayaita makanisa, hana haja. Hawana ht aibu walivyokuwa na upeo mdogo
Nauishi ukatoliki sisterNa wapi in nimeongelea Uislamu
Alafu mbona haohao Waislamu ndo wapinzan wake
Ukristo ni matendo , sio jina la kujipa mwenyewe
Pengo alikuwa mshabiki tu wa Magu na hakuwa mshabiki wa Watanzania.Wa
Wakati wa Magu lilikuwa linaitwaje? Pengo hakumwita Magu chaguo la Mungu? Wapumbavu nyie kaeni na ubaguzi wenu. Watu wenyewe wanajiita wafuasi wa Roma km siyo mazuzu ni nini? Nyie bado ni koloni la mroma
Mtawala aliepita aliwaburaza hivyo hivyo, wakawekeana bifu japokuwa hakuwahi kufunga. So mada yako ni irrelevantHao jamaa wamekurupuka tu kwa vile mtawala hayupo upande wao, 2030 mtawala atoke KKKT tu ambao tunaona ni sehemu ya walinda amani zaidi ya hao political contractor TEC
Si wanavyo vikundi vya hamasa, machawa na wasanii wa Tanzania nzima hawatoshi bado wanataka na kanisa katoliki nalo liwe sehemu ya washereheshaji wao?Wanataka kusifiwa tu
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Ni kweli Detective J , Kanisa katoliki lina taratibu zake ktk ujenzi wa makanisa na wana utaratibu wa madhabahu yao mfano sacrament etc ambazo ni utaratibu uko sawa dunia nzima. Kosa la Dkt Magufuli halina tofauti na la Membe kule Lindi (wote actually walikufa vifo vya ajabu visivyo vya kawaida kisa kuhombana na kanisa). Wote hawa walijenga makanisa bila kufuata taratibu. Mfano Dkt Magufuli yeye aliamrisha kanisa litumike na madhehebu yote (ni kosa), Katoliki wana madhabahu yao haipaswi kuingiliwa! Badala ya kuwa mpole Dkt Magufuli akashupaza shingo na kuanza kuwashughulikia Katoliki kwa kuwabambika kodi kubwa sana kwenye miradi yao, na hata pale walipoomba waonane naye wamuombe msamaha pale walipomkosea hakuwapa nafasi kabisa tena aliwasharau na kuwadhihaki kana kwamba yeye ndiye Mungu, akaenda mbali zaidi na kuanza kuwashughulikia mmoja mmoja kwa kuwagawanya, akasema yule Askofu wa jimboni kwake siyo mtanzania hahaha. Ila yote na yote vita na kanisa mwisho wake ni mbaya. Hivyo hata huyu Dkt Samia aliyeamrisha kwenda kumuua Dkt Kitima probably kama siyo kifo labda aende aombe msamaha otherwise karma ya kanisa ni mbaya sana na hutia kiburi.Well tofauti ni kwamba catholic walikuja muwekea ngumu hadi akamind na kuwawekea vinyongo, ali atempt kutaka kuwajengea kanisa karib na kwake
Wakachomoa
Siku zake za mwisho alishuka na walikuja kumuombea
Asante MockerNauishi ukatoliki sister
Wakamchukue Diamond aendeleze kuwapaisha.Si wanavyo vikundi vya hamasa, machawa na wasanii wa Tanzania nzima hawatoshi bado wanataka na kanisa katoliki nalo liwe sehemu ya washereheshaji wao?
Katolic ni bangi, drugs, sexual scandals, pia kanisa lilishiriki genocide ya Rwanda, ni evel churchPunguza pombe Mkuu.Alcohol is hell
Hakuna kuchanganya dini na siasaKatolic ni bangi, drugs, sexual scandals, pia kanisa lilishiriki genocide ya Rwanda, ni evel church
Maaskofu na mapadri waliohusika na Rwanda genocide walikuwa darasa la 7?Kumbuka tu Maaskofu wote wa RC pamoja na Katibu wao Mtendaji wa TEC ni PhD holder! Sasa kama unafikiri wamekurupuka! Basi utakuwa umekosea sana. Binafsi nawaunga mkono kwa 💯%
🤣 🤣 🤣 🔊bado hamjasema mbona!
Nawaambieni, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.
Sema umepaniki sana kunywa majiHapo hakuna kanisa, ni kundi la matapeli tu ili waishi vizuri hp duniani. Wakatoliki ht huyo Mungu wa kweli hawamjui. Ni wabaguzi, wenye chuki na makundi mengine ya jamii, askofu anajiona yuko juu ya Rais km huyo mkibosho wa hapo Dsm. Wana arrogance, egoism. Sahv kwa kuwa Rais ni muislam ndiyo maana wametoa huo uchafu wao. Mabwege tu hayo Samia mwenye ameshawagundua na amewapuuza, Rais wetu hahitaji kwenda kwenye hayo magenge yao wanayaita makanisa, hana haja. Hawana ht aibu walivyokuwa na upeo mdogo
Hata hapa watakua chanzo cha kumwaga damuMaaskofu na mapadri waliohusika na Rwanda genocide walikuwa darasa la 7?