saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,683
- 7,796
We zombie upuuzwebado hamjasema mbona!
Nawaambieni, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.
Tatizo ccm wao wanajiona wana nguvu kuingia kanisani, lakini hawataki kanisa liwasilishe siasa kwa wananchi au waumini wao.Hilo ni gumu kwasababu wote hao mtaji wao ni wananchi.Kwahiyo lazima kwanamna fulani waingiliane kwa namna yakung'ata na kupuliza.
We ni taahira? Nani kapigwa kwenye mshono? Samia anahitaji kwenda kusalimia kwa hayo mapumbavu? Rais ana majukwaa mengi sana na mialiko imejaa anatuma wawakilishi, atatafuta nini kanisani, wamejistukia alivyowapuuza ili kuficha aibu ndio maana wamekuja na huo upuuzi wao.Linahitaji Reform kwa sabubu mmepigwa kwenye mshono na bado kingine kizito kinakuja
Serikali haiwezi kushindana na kundi lolote la kijamii, yako makundi mengi sana nchi hii RC ni kundi moja tuTatizo ccm wao wanajiona wana nguvu kuingia kanisani, lakini hawataki kanisa liwasilishe siasa kwa wananchi au waumini wao.
Hapo ndio mgogoro ulipo, kama wanataka kuchora mstari basi katoliki wameanza, ccm nao wauchore wao au waukoleze wino mstari wa katoliki.
Na wapi in nimeongelea UislamuBasi waendelee nayo tu
Maana kila rais akija muislamu kabisa linakua too vividly irritated
Ukristo ni matendo , sio jina la kujipa mwenyeweWaunde taifa lao basi
Nazungumzia haya nikiwa mkristu kamili
Mnajitafutaa kila.mahaliW
We ni taahira? Nani kapigwa kwenye mshono? Samia anahitaji kwenda kusalimia kwa hayo mapumbavu? Rais ana majukwaa mengi sana na mialiko imejaa anatuma wawakilishi, atatafuta nini kanisani, wamejistukia alivyowapuuza ili kuficha aibu ndio maana wamekuja na huo upuuzi wao.
Sio serikali balu ni chama ndicho kinashindana na makundi yote yasiyokiunga mkono chama hicho.Serikali haiwezi kushindana na kundi lolote la kijamii, yako makundi mengi sana nchi hii RC ni kundi moja tu
mwenyekiti wa mazombie ulimwona jana akiapishwa na mazombie wake!We
We zombie upuuzwe
Matusi ya nini, dhibiti hisia jibu kwa hojaBila ht aibu anaiita roma? Roma? Makao makuu ya Italia? Nyumbu tu nyie hakuna mnayeweza kumbabaisha. Mtakaa na gundu letu Rais wetu akidunda. P
Pombe iko wapi, we umekunywa mkojo wa paroko? Wazungu wenyewe wanawadharau, majinga tu nyie
SErikali ya samaki🤣Si alisema ameamua kuwa chura kiziwi?
No Reform No electionHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Jamani si tumekubaliana kuwa tusichanganye dini na siasaHili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.
Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.
Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Inatakiwa iwe hivyo.Kuzuia siasa makanisani ni reform pia.
Walitakiwa waende mbali waseme na viongozi wa kikatoliki wasipokee mialiko yoyote ya wanasiasa.
Hii itasaidia pande zote, siasa zisiletwe kanisani, na dini zisiletwe kwenye siasa.
Kila mmoja akae na ale kwao.
ukweli ndiyo huoKila mtu ashinde mechi zake
Mungu aliumba divai ili ifurahishe na kuburudisha moyo wa mwanadamu.Kanisa linabariki pombe aisee
Mashetani hao.Kwamba sasa linaongea kwa sababu anayeongoza siyo Mkristo?hilo Kanisa halijawahi kuzungumza kipindi viongozi wakiwa Wakristo?
Hii mentality huwa mnaitoa wapi?kumbe ndiyo maana waislam hamzungumzi madhaifu ya raisi hasa upande wa usalama kwa sababu anayeongoza mwenzenu?kwa hiyo mmekubali roho za watu zipotee bila maelezo kisa mkisema mtakuwa mnamsema mwenzenu ktk imani?inasikitisha!
Nashangaa CCM tena ndio wanaanza kulalamika wanacho kihubiri majukwaani.Inatakiwa iwe hivyo.
Well tofauti ni kwamba catholic walikuja muwekea ngumu hadi akamind na kuwawekea vinyongo, ali atempt kutaka kuwajengea kanisa karib na kwakeDkt Magufuli alikuwa mkatoliki asiyeheshimu maa Askofu. Dkt Samia hana shida kabisa na Kanisa Katoliki na anawapenda mno tofauti na Dkt Magufuli aliyewashughulikia kwa kuwabambika kodi kibao. In short waliomharibia Dkt Samia ni hao kina duli na kikundi chake cha wauaji na watekaji
Hilo nalo ni jipu kwa nini Waislam wapewe nafasi kujenga misikiti kwenye maeneo ya Wakristo lakini Wakristo wNina hakika wewe ni mwongo. Kanisa halijawahi kuwa na chuki na Samia kiasi eti cha kuweka utaratibu wa kuzuia wanasiasa kuongea madhabahuni. Kwanza Rais Samia sijawahi kusikia ikiongea kwenye mimbari ya Kanisa.
Kanisa halijawahi kuwa na chuki na Samia, bali lina chuki na ushetani unaofanywa dhidi ya Watanzania.
Kikwete aliyeambiwa na askofu wa Dar kuwa eti ni chaguo la Mungu, alikuwa wa dini gani?
Magufuli aliyeandikiwa waraka mkali kuhusu vitendo vya dhuluma, alikuwa wa dini gani? Mafundisho ya upendo wa Kristo ndiyo yanawafanya wakristo kutowafanyia lolote baya wa imani tofauti. Waislam wanaweza kuwa 10 tu wakaenda nchi waliyojaa wakristo, wakajenga msikiti wao na wakaabudu bila shida, tofauti kabisa na wakristo wachache waende kwenye nchi yenye waislam wengi.
Wanataka kusifiwa tuNashangaa CCM tena ndio wanaanza kulalamika wanacho kihubiri majukwaani.
Hawataki dini kwenye siasa, na dini imekataa siasa.
Wao hawataki kuingiliwa lakini wanataka kuingilia makundi mengine.