Kanisa katoliki linahitaji reforms

Kanisa katoliki linahitaji reforms

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,303
Reaction score
39,999
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
 
Punguza pombe Mkuu.Alcohol is hell
 
bado hamjasema mbona!

Nawaambieni, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.
 
Mama yenu ni mkatoliki?
 
Dkt Magufuli alikuwa mkatoliki asiyeheshimu maa Askofu. Dkt Samia hana shida kabisa na Kanisa Katoliki na anawapenda mno tofauti na Dkt Magufuli aliyewashughulikia kwa kuwabambika kodi kibao. In short waliomharibia Dkt Samia ni hao kina duli na kikundi chake cha wauaji na watekaji
 
Kuzuia siasa makanisani ni reform pia.

Walitakiwa waende mbali waseme na viongozi wa kikatoliki wasipokee mialiko yoyote ya wanasiasa.

Hii itasaidia pande zote, siasa zisiletwe kanisani, na dini zisiletwe kwenye siasa.

Kila mmoja akae na ale kwao.
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna siku Tanzania kama nchi yenye hii mipaka unayoijua itakoma kuwepo ila hiyo taasisi ya dini ya Ukristo wa Ukatoliki utakuwepo. Kwa kifupi wao wapo mpaka Yesu Arudi. Ila sidhani kama Tanzania ina miaka 10 toka leo kabla ya Zanziabr na Tanganyika kutengana
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Catholic will never bow down to anyone!

Kanisa ni moja, takatifu, Katoliki la Mitume! Kanisa limesema, hakuna yeyote wa kupanua midomo
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.

Roma locuta, causa finita

Kanisa limejiingizakwenye siasa weeeee sasa limeshtuka ikiwa late

Kama ilivyokua Kwa magu na mkapa… Akija mkristu litapoa tena
 
Back
Top Bottom