Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira.
Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa.
Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu walikua ni jamaa zake wa Karibu.
Tanganyika yetu napo wameanza kuibuka akina Yuda Eskarioti, Wayahaudi waliomtesa Yesu, Waasi wa Imani...nk
Kwa Vipande 30 vya fedha wamekubali Kuikana imani yao na kuuza Utu wao kwa watawala wenye kunuka damu, wezi, mafisadi, walevi wa madaraka...nk
Japo wengine ni Mamluki/malofa wakitumika na watawala hao hao kupenyeza agenda zao chafu.
Kanisa limeundwa kwa misingi ya Utii ni ajabu leo wanaibuka waamini waasi wa imani na kutaka kuanza kufundisha Mapadre, Maaskofu, Watawa kusema uwongo, kutetea watawala wenye kunuka damu za watanzania.
Nani asiyejua mauaji yaliyotokea Tarehe 29 nani asiyejua wizi mkubwa wa kura pamoja na uchaguzi feki Tanganyika?
Leo unataka umfundishe askofu kusema kulikua hakuna mauaji, uchaguzi ulikua mzuri na kweli mtawala alishinda kwa asilimia 100 hii dhambi haitubiki hata kidogo.
Mitume, Watakatifu wengi walipoteza maisha yao kwa kusema ukweli na kutotea maovu ndani ya jamii.
Kanisa la kweli linatambulika kwa kusimamia hayo na sio kinyume.
Juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa wala Milango ya kuzimu halitalishinda.
Ora Pro Nobis