marion09
Member
- Sep 26, 2012
- 80
- 57
Sababu ya msingi ya kufeli NHIF ni serikali na watumishi wa NHIF kukopa mfuko. Serikali inazunguka mbuyu!Hii nchi imejaa wajinga wengi sana na ndio mtaji huu
Wameona fursa baada ya serikali kutema bungo yenyewe kuona wananchi wanachangia kiduchu huku magonjwa yanazidi kuwa chronic, mara figo sijui saratani
Halafu hawa wenye elimu ya upupu wa teoligia ya teofili kisanji ndio waendeshe bima 🤣🤣🤣