Litakuwa na wafuasi kuliko! ila wanamuomba Mungu yupi? isije ikawa ni freemason.
kanisa la wateule........
mi wakitaka niwe mtiifu waniruhsu niwe wa kwanza kuchagua nani awe mchumba.
kwani mlichokozana naye nini?
sasa bila hivyo itafaa........utulivu huja pale mtu ukitulizwa bana......a a...
Hivi mfagizi naye ni sehemu ya kanisa? maana hili kanisa, mmmmm....
kanisa la wateule........