Kanisa gani haswa KKKT (Lutherani) ambalo wana morning and evening glory?

paup

Senior Member
Aug 24, 2014
102
58
Natamani kuwa karibu na Mungu zaidi..maana kazi hua haziishi na muda unabana
msaada ni wapi naeza kusali asubuhi au jioni weekdays kwa Dar haswa maeneo ya kkoo na posta tafadhalini.
asanteni.
 
Kimara hakuna Morning wala Evening Groly ila kuanzia tar 7/nov kutakuwa na Ibada kila jioni za Mfungo wa siku 40
kariakoo hua ni asubuh sangap?
kimara kwa sasa sina ratiba zao
unaeza kunisaidia mkuu?
 
Back
Top Bottom