Kanisa gani haswa KKKT (Lutherani) ambalo wana morning and evening glory?

Mungu yupo mahali popote wakati wowote sio mpaka uende huko Kanisani, hata ukikaa kwako au kwenu bado utasali na Mungu atakusikia hata usiposali bado Mungu atakusaidia!
 
sali hapohapo ofisini, au nyumbani kwako, vipi unahisi mungu hatakusikia?
 
Back
Top Bottom