Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,781
MmhSio JF tu, yaani huwa sipendi kuona mahusiano flani ya mshikaji wangu yametulia na wanafurahia na kupendana sana


hii kali
MmhSio JF tu, yaani huwa sipendi kuona mahusiano flani ya mshikaji wangu yametulia na wanafurahia na kupendana sana


hii kali
Hii ni roho ya kinyongoliloMmhhii kali
HahahahaHii ni roho ya kinyongolilo

Mpaka nimuonje..Oh sorry nimuone...!Haya sifia kidogo mahusiano yangu na huyo malaika..![]()
Naonja tu sili blaza . punguza uchoyoLaleki halafu Dinah anajisifu anamtu hapa!
What a nungunungu is this..![]()

Ngishage unshimbe wako, n'gwilage giki ng'hambi ya mbiti nalinkoba namwoneNene naja lolo otuzonituja gete..😅
Jf Wachawi sana yani mnaombea mabaya tu..
Ni kweli, mkuu Insigne!Sio JF tu, yaani huwa sipendi kuona mahusiano flani ya mshikaji wangu yametulia na wanafurahia na kupendana sana
Kumbe buroo unajua kingereza hivi dohMaybe that's what love is... Having someone who guides you through different experiences, coaxes you to try news things but still makes you feel crazy over love....![]()


???Nakazia!!Na unaweza ukashangaa mi nikamuonja mlela na nisikie chochote haya mambo ni ntu na ntu