Kwenye maombi kuna mawili YES au NO

Hauna maajabu nimechoka mbayaa mzee babaUle mkono si wa kuzeeka leo wala kesho. Nasubiri kwa hamu kuu 😜😜
Akubali tu eti kakuita wakati mi nataniana tuKwenye maombi kuna mawili YES au NO![]()
Hauna maajabu nimechoka mbayaa mzee baba
Ana lake jambo huyo achana nayeAkubali tu eti kakuita wakati mi nataniana tu
Stop to be negative sometimes hata mpenzi wangu atafurahi ukitupongeza..


kweli umenaswa
Hahahaharaha raha tupu

Yani unadate na mchawi na unaringa! Kweli dunia hadaa walimwengu shujaa!.. nimekukoma Mimi tulia hirizi pumuzi zije ziishe dawa kitaumana tu..![]()






Mbona unataka kupindua meza sasaAu nimuite Naz.. nichane mkeka..?