Kaniroga kwa kutumia penzi lake

Ilikuwa ni sehemu ya utani tu ili kuunogesha uzi wa mkuu KENZY

JF ndiyo burudani yetu, Ni sehemu ya kujifunza mawili matatu, Na zaidi sana ni mahali pa kupunguzia misongo.

Shemeji haliwi mkuu hivyo usituchukulie isivyo.

Isitokee kesho na keshokutwa ukatumaindi au ukashindwa kutupatia msaada hata wa ya huduma ya kwanza wakati tumekata moto ukijua tulimuwazia shemela wetu.

mahondaw ilikuwa ni sehemu ya kuusogeza muda na kunogesha uzi wa mkuu wetu, Hivyo tunaomba msituchukulie tofauti.

Miaka 6-8 hivi nyuma, Mke wa jamaa yangu alitaka kunitia majaribuni, Jamaa yake alikuwa na VIDOSHO lukuki nje.

Mimi nikamtembelea SHEMELA kumliwaza na kumsaidia vishughuli maana watoto wake walikuwa shule za boarding.

Nikaosha tu vyombo pale na kusugua sugua sufuria, Lakini shemela aka-change, macho legevu na mikogo ya hapa na pale.

Akaniuliza, Kwa hofu, "nikikupa utaweza"? Nikasema "SIWEZI"

Nikasema, "NAENDA DUKANI NARUDI", Niliunga kwa MZEE JUMLA wala SIKURUDI.

Tunaanguka hatiani kwa namna tofauti.
Nanukuu "Tunaanguka hatiani kwa namna tofauti"
 
Hahahahahaha lol! Front jinsi ulivyoandika na emojis ulizotumia Best.
Ahaaaa Kumbe lol! Nikajua kweli best mzee ila mkono bado kijana sasa nikawaza sijui mkono gani huo anbao bado uko fiti regardless yauzee
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol! Mawazo yako yalishakimbilia kwenye mkono uleeeee lol! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ni mkono huu ambao ni mkono wa kweli si mkono ule mwingine Best unaoleta utamu wa hali ya juu. ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Ahaaaa Kumbe lol! Nikajua kweli best mzee ila mkono bado kijana sasa nikawaza sijui mkono gani huo anbao bado uko fiti regardless yauzee
 
Hahahahahaha lol! Mawazo yako yalishakimbilia kwenye mkono uleeeee lol! ni mkono huu ambao ni mkono wa kweli si mkono ule mwingine Best unaoleta utamu wa hali ya juu.
Nikataka kushangaa namna gani tena bestiii! Mtu na nguvu zake Huko kuzeeka vipi
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umenikumbusha jamaa mmoja humu alianzisha thread kuuliza ME kwamba wanawezaje kuwaambia wake zao maGF wao I love you wakiwa sober? Yeye kashindwa ili ngoja alewe sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I love you zinamtoka hovyo hovyo tu. Mkewe hadi huwa anamfukuza nyumbani aende Bar kunywa ili akirudi mrembo apate utitiri wa I love you my beautiful wife.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Nikiwa nimelewa ndionajaribu...๐Ÿ™ˆ
๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
 
Nakuaminia nawe Best hadi kirus kikaja kuharibu. Ukipelekewa moto unaopokewa kwa raha zote nรก sauti za kimahaba ili kuhamasisha moto zaidi huzitoa bila ajizi na macho ya kurembua juu.

Nakuaminia najua kunako shughuli huniangushi best ake nikuwapelekea motro kwakwenda mbele hahahaha..chezea front wewe!!! Safi hio
 
umenikumbusha jamaa mmoja humu alianzisha thread kuuliza ME kwamba wanawezaje kuwaambia wake zao maGF wao I love you wakiwa sober? Yeye kashindwa ili ngoja alewe sasa I love you zinamtoka hovyo hovyo tu. Mkewe hadi huwa anamfukuza nyumbani aende Bar kunywa ili akirudi mrembo apate utitiri wa I love you my beautiful wife.
hatari sana hio!Afu nasikia watu wengi wakilewaga wanakuwaga hoooottt!!
 
Nakuaminia nawe Best hadi kirus kikaja kuharibu. Ukipelekewa moto unaopokewa kwa raha zote nรก sauti za kimahaba ili kuhamasisha moto zaidi huzitoa bila ajizi na macho ya kurembua juu.
Hihihihihihi..kirusiiiiiiiiiiiiiiiii!! Ebu nilale mapema leo. Best have a good night! !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom