Wifi ameacha kununa?Hivi kama hamna pesa kwa nin mnajisumbua na warembo wa mjin,kwa nin msile kwa macho tu kama mimi huku?
Hiyo inaitwa "Nipe nikupe".Muambie aifate elfu kumi geto akigoma futa namba endelea na shuhuli zako za ujenzi wa taifa la uchumi wa chini kati.
Ungemwambia, "si umwombe mchumba wako?"Achana naye, mdangaji huyo. Hana mapenzi ya kweli, shida yake hela yako tu. Wanawake sijui wakoje wallah! Mie nilimtokea mmoja akanitolea nje eti ana mchumba wake. Siku moja ananitext eti nimuongezee 10,000 afanye biashara ndogondogo!!!!! Ovyoooo
Kaacha mkuu.Wifi ameacha kununa?
Kweli wewe ni kunguru wa manzeseMimi hua nikifukizia demu natenga 50000 pembeni Kama dau mpaka nimlale so akiomba vocha sjui makorokocho nachomoa kweny ile 50000 unaweza kuta hadi namgonga kashatumia 20000 halafu huyo napotea nikashamvua chupi
Mfano huyo wako ningemrushia Hio 10000 kweny lile fiftee namvuta taratibu kuku ni wako huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha nimecheka kikmaWala usimpe..atarud kutubu mwenyew..hao wanajikuta ni mamraka ya kukusanya mapato