Ya kutatulia shida aliyonayoYa nini sasa?
Ya nini sasa?
Yakumfanya apokee Simu yakoYa nini sasa?
Kwa nini asiongezewe na mchumba wakeAchana naye, mdangaji huyo. Hana mapenzi ya kweli, shida yake hela yako tu. Wanawake sijui wakoje wallah! Mie nilimtokea mmoja akanitolea nje eti ana mchumba wake. Siku moja ananitext eti nimuongezee 10,000 afanye biashara ndogondogo!!!!! Ovyoooo
Na ya kutoleyaaaTafuta hiyo Elfu 10 mtumie